Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

nitaipata kwa njia gani nipatie maelezo toshelezi.
  • Toka USA hadi Dar | Inachukua siku 7-10 baada ya kutolewa tracking number | Usafii wa Ndege
  • Mzigo ukiwa Dar kuna option Tatu: a] Ufuate mzigo b] Uletewe mzigo(Delivery ni TZS. 10,000) c] Utumiwe kwa EMS ( utalipa TZS. 20,000) iwapo uko mkoani, na kwa EMS ni ndani ya saa 48 mzigo unakufikia.
  • Wewe utanipa maelekezo nini kifanyike.
 
  • Toka USA hadi Dar | Inachukua siku 10 baada ya kutolewa tracking number.
  • Mzigo ukiwa Dar kuna option Tatu: a] Ufuate mzigo b] Uletewe mzigo c] Utumiwe kwa EMS iwapo uko mkoani. Wewe utanipa maelekezo nini kifanyike.
 
mkuu niwekee hapahapa wala hakuna shida.
1. Ingia TIGO Pesa *150*01#

2. Chagua 5 (Lipa kwa simu)

3. Chagua 1 (Kwenda tigo pesa)

4. Ingiza LIPA namba: ( angalia PM )

Jina litaleta BUY4ME

5. Weka kiasi na kamilisha muamala
=
Andika hapa hapa kwenye page baada ya kukamilisha muamala, Nami nitaweka update hapa hapa kila hatu ya mzigo.
=
NJIA ZA MAWASILIANO

Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62
2. Whatsapp ONLY: +255 788 203 160
3. Telegram: @MwlRCT
 
nikilipa nusu baada ya kupata didhaa ndipo nimalizie.
 
nikilipa nusu baada ya kupata didhaa ndipo nimalizie.
Manunuzi ya mfano GARI, ndi waweza kulipia kwa wamu mbili.
  • Awamu ya kwanza manunuzi ya gari huika na kusafirisha hadi bandari.
  • Awamu ya pili | Gharama za Kodi, Na clearnce bandari.

Ila kwa bidhaa zingine zote malipo ni mara moja tu.
 
ofisi yako inapatikana wapi mkuu nije kulipa cash.
Rejea posti namba mbili hapo juu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
  • Kipengele cha Angalizo
  • Hakuna malipo yafanyikayo kwa Cash.
  • Njia za malipo ni hizi hapa chini | Post No.1
- Hivyo sorry sina utaratibu wa kupokea Cash, Tumia njia mojawapo kati ya hizo nilizotaja, Ndio njia zitumiwazo tangu mwanzo wa hii huduma.
 
mkuu hakuna kutapeliwa baada ya kulipia bank.
Soma na jiridhishe page ya kwanza, kabla ya kufanya muamala.

kuna ushuhuda ya malipo hadi TZS. 30,000,000 ( Ndio 30M) na kizuri hakuna niliye onana naye uso kwa uso zaidi ya kwenda kufanya deposit bank, na mawasiliano yakiwa ni kwa simu na email tu.
=
Huyu alifanya muamala wa TZs 20,000,000πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na vielelezo kaambatanisha | Nenda posti namba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…