Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

TZS 58,068.42 70%OFF | 21V Impact Cordless Screwdriver 1600rpm High Speed Drills Rechargeable Battery Drill Household Drill Power Tools With Drill Bits
Page Not Found - Aliexpress.com


Mwl. Hii Mpaka mkononi itanigarimu kiasi gani na itachukua muda gani?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Scab53f4682c54196ab98c3fe2c2c215a4.jpg

Complete Set = TZS. ‭606,900‬
itachukua muda gani?
Muda: Wiki 2
 
Rejea posti namba mbili hapo juu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
  • Kipengele cha Angalizo
  • Hakuna malipo yafanyikayo kwa Cash.
  • Njia za malipo ni hizi hapa chini | Post No.1

- Hivyo sorry sina utaratibu wa kupokea Cash, Tumia njia mojawapo kati ya hizo nilizotaja, Ndio njia zitumiwazo tangu mwanzo wa hii huduma.
TZS 28,641.35 34%OFF | ROCK 3.5mm Immersive Headset In Ear Obsidian Stereo Earphone for iPhone ipad Samsung of Luxury Earbuds With Mic Wired Earphone
Mkuu hii hadi kunifikia itanigharimu bei gani?!!na ni muda gani hadi kunifikia?
 
ukifungua ofisi na kampuni itakuwa poa sana. mambo ya kuaminiana si mazuri kwako na kwamteja.
Mshikaji nimemuna kitambo sana hapa kaanzisha uzi huu na Akina Jonsonjohn wa Japan swali langu kwanini usifungue kampuni kama Akina Jonson kafungua kampuni yake ya www.digxam.co alianza kama wewe hapo saizi anawateja wengi fungua kampuni mkuu
 
Back
Top Bottom