Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1682222999560.png

=
1682223074639.png

=
Code:
https://www.etsy.com/c/jewelry-and-accessories?ref=catnav-10855
 
Habr kaka.

Samahan unaweza ukaniulizia bei ya machine ya gari aina ya Hino ranger HO7D used ambayo iko safi. Zingatia Japan.
Kutoka nje mpka kufikia dar ila haitaishia dar hapo itakua ni njia tu.
 
Mwl RCT nina shida na mipira ya football napata kwa shingapi?
Idadi 15-20 hivi
 
Mwl RCT nina shida na mipira ya football napata kwa shingapi?
Idadi 15-20 hivi
H6ca21407218f421883c8bf744e5029ed1.jpg

=
Code:
https://www.aliexpress.com/item/4001309140056.html
=
Mmoja ni TZS. ‭127,500‬
=
H2012453cb48340b9a3ae91e2aaeed1961.jpg
 
Kagua hii hapa
View attachment 2598968

=
=
Nimeona hiyo picha ila haikutumwa picha inayoweza kuonekana injin yote.

Bei gani inagharimu mpk kufika dar?
 
JE NITAUPATA VIPI MZIGO WANGU BAADA YA KUWA UMEFIKA TANZANIA?
- Utapigiwa simu kukujulishwa kuwa mzigo wako umefika.

- Utaletewa ofisi kwa wale wanaoishi katikati ya jiji ya Dar es salaam, FREE DELIVERY. au

- Utaelekezwa mahala unatakiwa ufike ili uchukua mzigo - Ni city centre kwa walio Dar es salaam, Waweza kuja wewe mwenye au ukamtuma mtu akuchukulie.

- Kwa walio mikoani au nje ya Tanzania utatumiwa kwa njia ya EMS au kwa njia ya basi kwa kadri wewe utakavyo pendekeza njia ipi itumike – Utalipia hii ghalama.
 
Back
Top Bottom