Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hii 632,400 ni mpaka kuzipata?30pcs | TZS. 632,400 | https://www.aliexpress.com/item/1005002378953699.html?spm=a2g0o.cart.0.0.190738da8OHlyf&mp=1
KUTOKANA NA UZOEFU WAKO Unadhani zinachukua muda gani mpaka kuzipata?Na utaratibu wa malipo unakuwaje ili ziagizwe?Sahihi.
Wiki 3muda gani mpaka kuzipata?
Utanijulisha kati ya njia A au B ipi unahitaji kutumia.NJIA YA MALIPO (KUTUMA FEDHA)![]()
Malipo yote yanapitia Benki, Chagua njia mojawapo kati ya hizi kufikisha fedha yako benki.
(a) Kwa kwenda benki na kuweka kiasi husika au
(b) Kwa kutumia Mobile Banking - kwa mtandao wa Tigo au VodaCom (kama ilivyoelekezwa hapa chini)
Asante kwa ufafanuzi.Wiki 3
Utanijulisha kati ya njia A au B ipi unahitaji kutumia.
Mheshimiwa kama utajaaliwa niangalizie na chaja ya hizo betri ili iwe rahisi. 1.5V AA 9800mAh Alkaline Rechargeable Battery with Charger for TV Remote Control Alarm Clock Flashlight Remote Control Toy, EtcTafuta link ya kunua chaja.
Mheshimiwa kama utajaaliwa niangalizie na chaja ya hizo betri ili iwe rahisi. 1.5V AA 9800mAh Alkaline Rechargeable Battery with Charger for TV Remote Control Alarm Clock Flashlight Remote Control Toy, Etc
![]()
1,5 V AA 9800mAh Alkaline Akku mit Ladegerät für TV Fernbedienung Wecker Taschenlampe Fernbedienung Spielzeug, etc - AliExpress 44
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.coma.aliexpress.com
Sehemu kubwa gharama ya usafirishaji ni kama zinafanana ni kubwa sana kuliko hata ya kununulia mara nyingi!View attachment 2623997
- Angalia muuzaji mwingine
- Huyu muuzaji Ghalama ya usafirishaji aliyoiweka ina makosa
Mheshimiwa mtaalamu,ASANTE SANA na kazi yako ni NJEMA SANA!
Kama ni kuchukua ilikuwa hii lakini kwenye maelezo yao inachaji betri za 1.2v na sio 1.5vView attachment 2624760
TZS. 58,650
Safi hii iko vizuri itafaa kwa aina ya hizo battery 1.5v.Sasa nijumlishie ili kwa neema ya Mungu tuweze kujipanga maana hizo betri tutazitumia kwa ajili ya Microphone kadhaa za Kanisani.View attachment 2624898
TZS. 79,050 | Hii itakufaa
Asante sana mheshimiwa kwa kazi njema.MUNGU AKITUJAALIA TUTAWASILIANA.Kikubwa cha kupendeza una bidii kujibu mapema bila kujivuta vuta.Hiyo ni nzuri sana maana wengi wetu huwa hatuzingatii sana kwenda na muda jambo ambalo siyo jema kwa maendeleo ya mtu binafsi N.K.Betri 30pcs = 632,400
Chaja 1pcs = 79,050
Jumla = 711,450
Nadhani njia A ni bora zaidi.Wiki 3
Utanijulisha kati ya njia A au B ipi unahitaji kutumia.