Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Pongezi kubwa kwako mwl kwa uzi huu.

Naomba msaada wako wa ushauri

Binafsi nimenunua mzigo kutoka aliexpress na ukasafirishwa kwa Aliexpress standars shipping details zake hizi hapa chini

Order ID: 8166816608791453

Tracking namba TZ000582945R

Order time 2023-04-26 10:39


Mzigo unaonesha umefika Tanzania na umekabidhiwa kwa local delivery company ambayo hawajaitaja jina lake hiyo company.

Nimeenda posta kuulizia wakasema mzigo hawajapewa wao. Na hawajui kampuni gani ama courrier gani imepewa huo mzigo ili wanipatie.

Je nitumie mbinu gani kuupata mzigo wangu.


Mizigo ya Ali express standard shipping huwa inapokelewa na kampuni gani ama Tanzania? Ama inachukuliwa wapi ukiondoa posta
 
Mzigo unaonesha umefika Tanzania na umekabidhiwa kwa local delivery company ambayo hawajaitaja jina lake hiyo company.
Jina | Speedaf
Nini cha kufanya | Fika kwenye ofisi zao mikocheni ukiwa na kitambulisho chako , Wape tracking number na utapewa mzigo
1684320850292.png
 
Update | Kwa mizigo toka china | Muda wa kusubiri, Minimum siku 7 - 14 | mzigo unakuwa umefika nchini
=
1684992922462.png
 
Back
Top Bottom