twalangete mwakuganda
New Member
- Jun 8, 2023
- 4
- 1
Natafut anay jimlisha jez za lig mbal mbal ulay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alibaba - Ni maalum kwa wafanya biashara wakubwa, wanao chukua mzigo mkubwa kwa jumla, mfano 500pcs or above.Alibaba, kitu kiachouzwa USD 6 nimejaribu kuweka Order ya 6 psc, Shipping pekeake naambiwa TSHs 360,000+
Mwalimu unaonesha una uzoefu wa miaka mingi kwenye hii taaluma yako. Na unaonesha uliisomea na kuwekeza jitihada nyingi ili uwe kama ulivyo sasa.View attachment 2656054
Nashukuru sana!
Anayeuz jez toreo jipya Kam vile arsenal na man uSijaelewa, fafanua tafadhari.
Zinapatikana ebay kwa kila timu utakayohitaji, ia kwenye officia website ya timu husikaAnayeuz jez toreo jipya Kam vile arsenal na man u
Hao Alibaba wameniuliza Kama Nina agent China wanitumie parcel kule kwa Bei nafuu.Alibaba - Ni maalum kwa wafanya biashara wakubwa, wanao chukua mzigo mkubwa kwa jumla, mfano 500pcs or above.
Alibaba waweza kuwa unahitaji 1pcs ya item fuani inayouzwa US $4, wewe ukasema idadi ni 1 - 5pcs, wanachukulia kuwa unahitaji sample,
Hiyo sample hutumwa kwa njia ya express, ambapo minimum kwa express shipping huwa kati ya $40 hadi $60 kutegemea ain ya bidha husika.
Hivyo kwa upande wako, ni sawa kabisa, kwa item ya $6 kutakiwa kulipia TZS. 360,000 ( wnachukulia wewe ni mfanya biashara mkubwa na unahitaji sample kwa hara)
Je nini unatakiwa kufanya.
- Tumia retail stor kama | aliexpress.com
- ambapo shipping cost huwa iko wazi na ni nafuu san.
- Utalipia usafirishaji kwa awamu mbili.Hii imekaaje
Je ni taarifa ipi hasa unahitaji, unaposema hii imekaaje?
Je utaweza kuwahi?Mwl.RCT Nahitaji kununua hii bidhaa ipo mnadani .
![]()
Title from manufacturer : Tommy Hilfiger Womens Multi dial Quartz Watch with Rose Gold Strap 1781
Bid Live on Lot 10045HF in the Clearance ! Stock Liquidation ! Philips, Bosch, Dualit, Delonghi, Ninja, Nespresso, Tefal ! Toasters, Ovens, Coffe Machines, Steamers, Grills ! Auction from Alexander Aurelius Auctioneers.www.i-bidder.com
Mwl.RCT Nahitaji kununua hii bidhaa ipo mnadani .
![]()
Title from manufacturer : Tommy Hilfiger Womens Multi dial Quartz Watch with Rose Gold Strap 1781
Bid Live on Lot 10045HF in the Clearance ! Stock Liquidation ! Philips, Bosch, Dualit, Delonghi, Ninja, Nespresso, Tefal ! Toasters, Ovens, Coffe Machines, Steamers, Grills ! Auction from Alexander Aurelius Auctioneers.www.i-bidder.com