Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari Mwl!

Naomba nichekie hii mpaka naipata itakua kiasi gani

 
TZS. ‭744,650‬
Muda | Wiki 3
=

=
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu nahitaji remote ya hii sound bar. Naipataje. Gharama ipoje


 
Mkuu nahitaji remote ya hii sound bar. Naipataje. Gharama ipoje


View attachment 2749885
Kwa kutumia
Model: B-3363A

Nimepata Remote hizi
\1: Replacement Remote Control for Bush Small Screen 24W 2CH Sound Bar B-3363A


--
\2: Remote Control For BUSH B-3363G, B-3363A Compact Sound bar Speaker System


Bei | TZS. ‭100,700‬ ( Hadi inafikishwa Dar )
Item Location | UK
Delivery Time | Siku 10 - 14
 
Umenionyesha remote mbili hapo mkuu. Je ni zote kwa pamoja zinahitajika kwa ajili ya hiyo sound bar?
 
Je ni zote kwa pamoja zinahitajika kwa ajili ya hiyo sound bar?
Ni moja kati ya hizo,

Nijulishe utachukua ipi #1 au #2

Pia kuna hii | Remote Control For BUSH B-3363A HD Bluetooth Soundbar Speaker System

Angalia mojawapo kati ya hizi tatu.
 
Nyingine hii hapa | Replacement Remote Control for Bush Small Screen 24W 2CH Sound Bar B-3363A

 

Kw wahitaji wa hizi karatasi, kwa idadi kubwa, toka China, Na unahitaji kuagiza mwezi huu njoo inbox now

NB: Ghalama ya usafirishaji pamoja na kodi itatokana na idad ya CBM,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…