Hapana wachina sio waongo, ila kuna kitu hujaelewa kuhusu bei za kwenye mitandao.Tatizo lawa china waongo sana Engine
Nipe dakika chache nitafute taarifa zake.Mkuu nahitaji unisaidie kuagiza smart media player hii.
View attachment 2962966View attachment 2962968View attachment 2962969
Hii product kwa sasa haipatikani.Mkuu nahitaji unisaidie kuagiza smart media player hii.
View attachment 2962966View attachment 2962968View attachment 2962969
Mkuu kama watumia oppo napenda tu kujazia chukua chager yenge technology ya vooc ni mahususi kwa simu BBK nasema ivyo kwa nini nilinunua faster change ya 65 watts ila kwa oppo yangu ikawa aipeleki kama faster changer nilipofanya uchunguzi nikajua kua inaitaji vooc changer na nilipo nunua vooc changer basi ilipeleka vizuruNahitaji kama hii ya Oppo watt80 View attachment 2953816
Habari.Mkuu kama watumia oppo napenda tu kujazia chukua chager yenge technology ya vooc ni mahususi kwa simu BBK nasema ivyo kwa nini nilinunua faster change ya 65 watts ila kwa oppo yangu ikawa aipeleki kama faster changer nilipofanya uchunguzi nikajua kua inaitaji vooc changer na nilipo nunua vooc changer basi ilipeleka vizuru
mpaka inifikie mkononi ni bei ngani mwalimu
Mkuu Google Chromecast with TV inaweza kunifikia kwa Tsh ngapiHii product kwa sasa haipatikani.
View attachment 2963069
Specification
- Ila kwa sasa chaguo bora ni: Mi TV Box | Xiaomi Tv Box S 2nd Gen
- Itakufikia kwa TZS. 188,160
View attachment 2963086
Picha
View attachment 2963090
View attachment 2963091
Google Chromecast with TV
128GB = TZS 567,420Habari naomba uniangalizie hiyo simu pamoja na shipping itakua bei gani. Kwa company za shipping tofauti na hizo walionyesha wao.Wholesale Original Android Used Mobile Phones Cell Phone Smart Phones Unlock For Google Pixel 6 128gb 256gb - Buy Wholesale Original Android used Mobile Phones Google Pixel 6 cell Phone Smart Phones Unlock Product on Alibaba.com
Wholesale Original Android Used Mobile Phones Cell Phone Smart Phones Unlock For Google Pixel 6 128gb 256gb - Buy Wholesale Original Android used Mobile Phones Google Pixel 6 cell Phone Smart Phones Unlock Product on Alibaba.comx.alibaba.com
Asante kwa mfano siwezi tumia njia nyingine ya usafiri bei ikapungua kidogo.
Hakuna. Sababu waweza tumia njia nyingine na mzigo ukafika nchini ukadaiwa kodi kubwa asilimia 30- 50 ya thamani ya simu, Bado maswala clearance nk. Nimekupa best option.Asante kwa mfano siwezi tumia njia nyingine ya usafiri bei ikapungua kidogo.