Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hakuna. Sababu waweza tumia njia nyingine na mzigo ukafika nchini ukadaiwa kodi kubwa asilimia 30- 50 ya thamani ya simu, Bado maswala clearance nk. Nimekupa best option.
m
chif
 
VIZIO D24FM KO1
Habari Mwalimu, naomba unitafutie hii tv hapo juu, unipatie garama za mpaka inifikie mkononi itakuwa bei gani.
 
Mkuu Habari yako, samahani agent yupi wa usafirishaji au nitumie njia ipi kusafirisha mzigo unifikie ndani ya siku 2 au 3, kutoka China , naona agents wengi waongo tu , muda wanaosema ni tofauti and na muda halisi
 
Mkuu hii bidhaa mpaka naipata niandae shingapi?Just found this amazing item on AliExpress. Check it out!
TZS32,371.56 56%OFF | Electric Screwdriver Battery Rechargeable Cordless Screwdriver Powerful Impact Wireless Screwdriver Drill Electric Screw Driver
 
Vp bidhaa kama hizi used ebay zinaweza kuagizwa?
 
TZS. 129,000‬ | 2pcs SET
TZS. 159,000 | 47pcs SET

Delivery time: 15-90 Days
 
ebay zinaweza kuagizwa? | Ndio waweza agiza.

Kuitoa kwa muuzaji hadi kwa shipping agent, Ndani ya USA kiasi cha kulipia ni TZS. 429,000

Ghalama ya kusafirisha USA to Dar | Inatokana na uzito in KG | Ikg = US $28 | Utalipia baada ya Mzigo kukamilisha route No. 1 ( Shipment nadani ya USA.

Mzigo ukifika nchini.
  • Kuna VAT asilimia 18
  • Cleraing charges | Angalia post no. 1

Hivyo utaona malipo yako katika awamu Tatu. (Manunuzi + Kusafirisha + Clearance)
 
ya siku 2 au 3
Kwa kigezo hiki, Muda wa siku 2 au 3 hakuna agent hapa nchini, Chukua hii kama fursa, anzisha kampuni na uwe unatoa huduma ya kufikisha nchni mzigo kwa siku 3 hakika utakuwa umeua biashara ya agents wengine wote hapa Tanzania.
nitumie njia ipi kusafirisha mzigo unifikie ndani ya siku 2 au 3
Tuiweka katika muktadha huu.
- Mzigo ili ufike nchini ndani ya siku tano za kazi, sio tatu, Tumia kampuni ya DHL, Hakika utapata mzigo wako kwa siku chache zaidi.
 
kwa hiyo hii ndiyo gharama hadi tv niishike mkononi?
Hapana, Hiyo ni gharama ya kutoa mzigo USA to Tanzania. Mzigo ukifika Tozo zinatusubiria.

Bado kuna kodi, TRA watatujulish ni kiasi gani, Bado kuna claerance charges, Angalia post number 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…