Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1727915135930.png
 
Ndio zenyewe, naomba utaratibu
1728460704748.png

Kiasi cha kulipia ni USD 855‬ = Sawa na TZS 855 * TZS.3000 = TZS. 2,565,000

Hapo mzigo unakuwa umefika Dar.

Awanu ya pili ya malipo | Ni Clearance + TRA TAX/VAT = Hii hutokana na invoice value ya mzigo husika na ghrama kamili tutajulishwa mzigo ukiwa nchini, Njia ya malipo: Control number itatolewa.

Njia ya malipo | Nijulishe njia ipi ya malipo utatumia.

Muda wa kufika nchini: Siku 10-14
 
Nataka hii .
Gharama hadi kufika ipoje.
 
Attachments

  • 1728738696087.png
    1728738696087.png
    200.8 KB · Views: 16
Xiaomi civi 3
Hii hapa
Code:
1. https://www.ebay.com.au/itm/186176395487?var=694209058260&customid=&toolid=10050
2.https://www.ebay.com.au/itm/126633085307?var=427676001357&customid=&toolid=10050
3. https://www.ebay.com.au/itm/325690773048?var=514715878018&customid=&toolid=10050
4. https://www.ebay.com.au/itm/285301941789?var=587176398388&customid=&toolid=10050
Link #4 ndio bei ya chini, Angalia iwapo itafaa.
 
Dah, nilidhan itatembelea almost 1M lakini hatari.
 
Mwl.RCT kwanza, nikupongeze kwa kusaidia watu kupata bidhaa kutoka nje ya nchi.

Pili, nafikiri unajua jambo lolote linalohusisha miamala ya kifedha ni lazima liwe rasmi yaani “formality”, naomba kufahamu unafanya kazi hii kwa utaratibu upi? Kuaminiana tu au kwa utaratibu rasmi unaohusisha usajili na vibali?
 
“formality”, naomba kufahamu unafanya kazi hii kwa utaratibu upi? Kuaminiana tu au kwa utaratibu rasmi unaohusisha usajili na vibali?
Linapokuja swala la miamala ya kifedha Kwa mujibu wa:
  1. Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
  2. Ofisi ya Msajili wa Biashara
  3. Tume ya Ushindani wa Kibiashara
Jibu ni hapana sina usajili na vibali husika.

Ahsante kwa swali hili, Limefungua mlango kwa hatua zaidi.

=
Utaratibu wa Miamala ya Kifedha Nchini Tanzania

Katika muktadha wa miamala ya kifedha nchini Tanzania, ni muhimu kuelewa kuwa kuna mahitaji maalum yanayohusisha usajili na vibali ili kuhakikisha kwamba shughuli hizo zinafanyika kwa njia rasmi na salama. Hapa chini ni hatua za msingi zinazohusiana na utaratibu huu:

1. Usajili wa Biashara: Kila biashara inayofanya shughuli za kifedha inapaswa kujiandikisha rasmi. Hii inahusisha kupata leseni ya biashara kutoka kwa mamlaka husika kama vile Ofisi ya Msajili wa Biashara. Usajili huu unasaidia katika kutambulika kisheria na pia unatoa ulinzi wa kisheria kwa wamiliki wa biashara.

2. Vibali vya Kifedha: Baadhi ya shughuli za kifedha zinahitaji vibali maalum kutoka kwa mamlaka kama Benki Kuu ya Tanzania (BoT) au Tume ya Ushindani wa Kibiashara. Hii ni muhimu hasa kwa shughuli zinazohusisha mikopo, uwekezaji, au huduma za kifedha ambazo zinaweza kuathiri uchumi wa nchi.

3. Ufuatiliaji na Udhibiti: Miamala yote ya kifedha inapaswa kufuatiliwa na kudhibitiwa ili kuhakikisha kwamba zinakidhi viwango vya sheria na kanuni zilizowekwa. Hii inahusisha ukaguzi wa mara kwa mara na ripoti za fedha ambazo zinapaswa kuwasilishwa kwa mamlaka husika.

4. Kuaminiana vs Utaratibu Rasmi: Ingawa kuna umuhimu mkubwa wa kuaminiana katika biashara, utaratibu rasmi unatoa ulinzi zaidi dhidi ya udanganyifu na matatizo mengine yanayoweza kutokea. Kwa hivyo, ni muhimu kuwa na mikataba rasmi ambayo inaelezea wazi masharti na wajibu wa pande zote mbili katika miamala ya kifedha.

5. Sheria za Kifedha: Tanzania ina sheria mbalimbali zinazodhibiti miamala ya kifedha kama vile Sheria ya Benki na Taasisi za Fedha, Sheria ya Makampuni, pamoja na sheria nyingine zinazohusiana na usalama wa fedha. Ni muhimu kufuata sheria hizi ili kuepuka matatizo yoyote kisheria.
Kwa ujumla, utaratibu rasmi unaohusisha usajili, vibali, ufuatiliaji, na sheria ni muhimu katika kuhakikisha kwamba miamala ya kifedha nchini Tanzania inafanyika kwa njia salama na yenye ufanisi.
 
Hii hapa
Code:
1. https://www.ebay.com.au/itm/186176395487?var=694209058260&customid=&toolid=10050
2.https://www.ebay.com.au/itm/126633085307?var=427676001357&customid=&toolid=10050
3. https://www.ebay.com.au/itm/325690773048?var=514715878018&customid=&toolid=10050
4. https://www.ebay.com.au/itm/285301941789?var=587176398388&customid=&toolid=10050
Link #4 ndio bei ya chini, Angalia iwapo itafaa.
Cheki na hiyo link nipe gharama zake.
 
Back
Top Bottom