Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nahitaji pair 1 ya used headlamp za bmw x3 2005, mpaka kunifikia inahitaji
 
Ndio zenyewe, naomba utaratibu


Kiasi cha kulipia ni USD 855‬ = Sawa na TZS 855 * TZS.3000 = TZS. 2,565,000

Hapo mzigo unakuwa umefika Dar.

Awanu ya pili ya malipo | Ni Clearance + TRA TAX/VAT = Hii hutokana na invoice value ya mzigo husika na ghrama kamili tutajulishwa mzigo ukiwa nchini, Njia ya malipo: Control number itatolewa.

Njia ya malipo | Nijulishe njia ipi ya malipo utatumia.

Muda wa kufika nchini: Siku 10-14
 
Nataka hii .
Gharama hadi kufika ipoje.
 

Attachments

  • 1728738696087.png
    200.8 KB · Views: 16
Xiaomi civi 3
Hii hapa
Code:
1. https://www.ebay.com.au/itm/186176395487?var=694209058260&customid=&toolid=10050
2.https://www.ebay.com.au/itm/126633085307?var=427676001357&customid=&toolid=10050
3. https://www.ebay.com.au/itm/325690773048?var=514715878018&customid=&toolid=10050
4. https://www.ebay.com.au/itm/285301941789?var=587176398388&customid=&toolid=10050
Link #4 ndio bei ya chini, Angalia iwapo itafaa.
 
Dah, nilidhan itatembelea almost 1M lakini hatari.
 
Mwl.RCT kwanza, nikupongeze kwa kusaidia watu kupata bidhaa kutoka nje ya nchi.

Pili, nafikiri unajua jambo lolote linalohusisha miamala ya kifedha ni lazima liwe rasmi yaani “formality”, naomba kufahamu unafanya kazi hii kwa utaratibu upi? Kuaminiana tu au kwa utaratibu rasmi unaohusisha usajili na vibali?
 
“formality”, naomba kufahamu unafanya kazi hii kwa utaratibu upi? Kuaminiana tu au kwa utaratibu rasmi unaohusisha usajili na vibali?
Linapokuja swala la miamala ya kifedha Kwa mujibu wa:
  1. Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
  2. Ofisi ya Msajili wa Biashara
  3. Tume ya Ushindani wa Kibiashara
Jibu ni hapana sina usajili na vibali husika.

Ahsante kwa swali hili, Limefungua mlango kwa hatua zaidi.

=
 
Cheki na hiyo link nipe gharama zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…