Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Unaweza kuniagizia motherboard za simu kutoka nje?
Ndio ninaweza kukuagizia toka nje ya nchi. Iwapo ni nyingi za biashara, tutaagiza toka china.

Iwapo ni moja kwa ajiri ya matumizi binafsi tutaagiza toka USA kupitia amazon au ebay.

utaratibu wake ukoje?
  • Hatua ya kwanza: Unanipa details za bidhaa husika: Link, Idadi na specifications zingine kulingana na item husika.
  • Hatua ya Pili: Nitakupa Gharama za kulipia na utaratibu wa kulipia.
  • Hatua Ya tatu: Manunuzi ya tafanyika.
  • Hatua ya Nne: Muuzaji ataandaa mzigo, tutapewa tracking number, Then kinachofuata ni kusubiria mzigo ufike nchinni, Ambapo clearance na delivery ndio huitimisha mchakato wa manunuzi.
 
Mkuu nipe bei ya Lg inch 43 na Hisense inch 43.
Kimsingi kuna option tatu,

Kutegemea wapi utanunulia mzigo wako.
  • Je kwa bei ya kununulia toka Kariakoo? au
  • Kwa bei ya kununulia toka USA? au
  • Kwa bei ya kununulia toka China
Je upo mkoa gani? Ili nikupe ushauri.
 
Kimsingi kuna option tatu,

Kutegemea wapi utanunulia mzigo wako.
  • Je kwa bei ya kununulia toka Kariakoo? au
  • Kwa bei ya kununulia toka USA? au
  • Kwa bei ya kununulia toka China
Je upo mkoa gani? Ili nikupe ushauri.
Mkuu Kuna hii PS5,
Huko kwao ni 700k na wanasema ni free shipping.

Inaweza kufika kias gani mpaka naichukua mkononi hapa Bongo?

I just found this on AliExpress: Please help me choose!
TZS707,690.69 | Selling new PS5 Slim 1TB DISC EDITION FOR-PS5 Console 825GB WITH 4 Controllers PLUS 23 Games

 
  • Nimekagua link.
  • Muuzaji hatumi Tanzania.

Hivyo kuna awamu mbili za kulipia.

1. Manunuzi ya bidhaa
2. Shipping cost | Hii itatokana na uzito wa package, shiping agent ataniambaia ni kilo ngapi, na utalipia kulingana na maelezo ya post number moja hapo juu.

Nijulishe ikiwa uko tayari, Tuanze na hatua ya kwanza.
 
Kimsingi kuna option tatu,

Kutegemea wapi utanunulia mzigo wako.
  • Je kwa bei ya kununulia toka Kariakoo? au
  • Kwa bei ya kununulia toka USA? au
  • Kwa bei ya kununulia toka China
Je upo mkoa gani? Ili nikupe ushauri.
Arusha.
 
Your browser is not able to display this video.
 



HII MACHINE MPAKA IFIKE DAR ITAKUA SH NGAP
 
Malipo ya awali: TZS. 1,800,000
Malipo yatakayofuta: Utajulishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…