Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa nini?
- Kwa aliexpress, umakini ni muhimu, kun abaadhi ya wauzaji bidhaa zao kuzipata ni zaidi ya Miezi mitatu, na huwa ni 50/50 upate bidhaa au usipate kabisa.

- Hivyo ni veyema kuwa mwangalifu katika kuchagua bidhaa/ seller ili kuhakikisha kile unachokilipia unakipata katika muda stahiki.
 
Mtandao upi ni bora uhakika zaidi kwa kuagia simu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…