Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Au hii nahitaji hata ikiwa used sawa

HP SPECTRE 360 13,8TH GENERATION,CORE i7,8GB RAM,512GB SSD,TOUCHSCREEN,FINGERPRINT,
 
HP SPECTRE 360 13,8TH GENERATION,CORE i9,8GB RAM,512GB SSD,
  • Hii i9 umeitoa websitie ipi?
  • Options za kuchagua ni hizi: Idadi kwenye mabano.
1756633537096.png
 
1. Je PC kwa matumizi kama yapi?
2. Je Bajeti range yake ni kati ya TZS? ngapi.
- Hii itasaidia kupta PC sahihi. Itakayokidhi mahitaji.
Nahitaji kwa ajili ya video editing,graphics designer....hata ikiwa mult task 1m mpka 1.5m hapo ,,lakini napendelea XPS 15 au spectre x 360...napokea ushauri lakin
 
spectre x 360
Memory Capacity: 8GB
Hard Drive Capacity: 256GB
Screen Size: 13.3"
Resolution: 1920*1080 HD
Processor Main Frequency: 1.60GHz
Video Memory Type: GDDR4
Processor Type: Intel I5
Screen: 13.3 Inch IPS Screen 1920*1080
Item: NotBook PC
Model Number: Hp spectre x360 convertible 13-ae
---
Nipe muda, nimetoka kuwasiliana na seller kuhusu hii model kuona uwezekano wa kuifikisha nchini ndani ya bajeti.
---
Picha:
1756811679716.png

1756811723489.png
 
Nafikiria kununua certified refurbished iphone SE 2022, kupitia Amazon. Mkuu, naomba muongozo kidogo.
 
Back
Top Bottom