Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1743955953238.png
 
Ticha uko na site ya SAA za mkononi USED?
KAZI ni kipimo cha utu
Fungua hii site:
Code:
https://picclick.com
  • Andika model ya saa husika kisha ongeza neno "used" au neno "refurb"
  • Utapata link za ebay na amazon.
  • Kisjha share nami link uliyochagua
Na manunuzi yatafanyika.
 
Iko kwenye mnada.

Mnunuzi lazima ashiriki huo mnada na ashinde kwa dau kubwa.

Unapochagua bidhaa angalia kusiwepo na neno BIDS.
Hii mpk mkononi
 

Attachments

  • Screenshot_20250410-105207.png
    Screenshot_20250410-105207.png
    696.1 KB · Views: 37
Hii mpk mkononi
TZS. 307,170

Ili kukamilisha Malipo wasiliana nami:
emoji778.png
NJIA ZA MAWASILIANO


Wasiliana nami kwa moja ya hizi njia
1. Kupiga simu/ Kutuma ujumbe: 0717 54 57 62 au 0788 203 160
2. Whatsapp: +255 788 203 160
3. Telegram: @MwlRCT

emoji778.png
MUDA WA KUWASILIANA NAMI

1. 06:00 – 19:30hr (Saa 12:00 asubuhi HADI Saa 1:30 Usiku)– Simu/sms/whatsapp/telegram - Utajibiwa
2. 19:30 – 06:00hr (Saa 1:30 usiku HADI Saa 12:00 asubuhi)– Niachie ujumbe wa simu (sms)/whatsapp/telegram/email, Na utajibiwa au kupigiwa simu kabla ya 08:00hr Kila siku.
 
1753110993378.png

Code:
https://www.amazon.com/gp/product/B0DD5PTPT8?smid=ATVPDKIKX0DER&th=1
 
Boss hii inaweza kuwa bei gani hadi kufika?

 
Back
Top Bottom