Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Je ni bidhaa ipi?
Habari yako mkuu! Kuna mmea nimeutafuta kwenye maduka yote ya samaki hapa Dar sijakupata. Unaitwa Anubias Nana, unaweza kunisaidia kuagiza nje? Na bei yake itakuwaje mpaka naupata?
 
Habari Ndugu pojore
Haitawezekana kusafirisha hii bidhaa.
Sababu iko katika kundi la bidhaa ambazo ziko banned :
 
Unaitwa Anubias Nana, unaweza kunisaidia kuagiza nje? Na bei yake itakuwaje mpaka naupata?
Habari Ndugu aise
Sijafanikiwa kupata seller wa hii item.

Waweza endelea kusearch kwenye platform kama aliexpress kwa kutumia haya maneno "Anubias Nana tissue culture"

Na ukipata nipatie link na taratibu za manunuzi zitafanyika
 
Mwl.RCT naomba kuuliza swali la ufahamu. nilikua nafanya window shopping ya hiki kifaa kinatumika kuchemsha mayai. kwa hapa tanzania kinauzwa maximum price 65000. nimeingia aliexpress nakuta kinauzwa mpaka 100,000 plus. najiuliza ina maana aliexpress bei zao ziko juu zaidi ya bei za hapa TZ? kama ni hvo, je kuna faida gani kuagza bidhaa nje wakati hapa tz inapatikana kwa bei cheap?
 
Swali limekaa kimkakati sana. Wachina wameharibu mindset za waaafrika na masoko haswa ya east Africa hususani Tanzania, bongo imekua dumping place ya bidhaa cheap za HOVYO ambazo hazina ubora, yet mtu anaona u-cheap ndio jambo muhim zaidi kuliko ubora wa bidhaa...na ukifika Tanzania Kuna wahuni Sasa, bidhaa imetoka nje anaileta dukani kwake anaifungua anatoa vifaa vile muhim anaweka vya kichina ambavyo havina ubora unauziwa unaona umepata kumbe umepatikana
 
. Bidhaa ambazo hazipatikani hapa nchini, au hata ukipata zinapatikana gharama yake huwa kubwa mara mbili zaidi, ukilinganisha na gharama ya kununua nje + gharama ya usafirishaji + kodi. Hivyo, thread hii itajikita katika nyanja kuu mbili:
wakati hapa tz inapatikana kwa bei cheap?
Kwa baadhi ya bidhaa ni vyema ukanunua hapa nchini.
 
Na kibaya zaid ni kwamba unauziwa fake product kwa bei ya Original product
Kwa baadhi ya bidhaa ni vyema ukanunua hapa nchini.
Ni kweli kabisa asee.
 
Mkuu nahitaji chainsaw mashine aina ya Husqvarna 272 ya Brazil au china naomba kujua bei yake ili nijue jinsi ya kuipata
 
Mkuu nahitaji chainsaw mashine aina ya Husqvarna 272 ya Brazil au china naomba kujua bei yake ili nijue jinsi ya kuipata
[Original] Kichwa pekee:
Code:
https://www.ebay.com/itm/206587600949
  • Malipo ya awali: US $975 - Manunuzi.
  • Kwa nini malipo ya awali: Bado kuna shiooing cost (itatokana na uzito katika KG), Bado kuna clearance na Tozo hapa nchini)
  • Bidhaa inatoka USA

[Cloned version]
  • Inatoka china.
  • New condition ikiwa na kila kitu chake.
  • Bei TZS 982,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…