Ahsante kwa mrejesho.
Masoko kundi B hii ndio changamoto yake.
Mfano waweza nunua
Earbuds katika soko kundi B kwa
US $5 tu, lakini ikasafirishwa kwa
US $16 kuja Tanzania; Hivyo hiyoitem ikakugalimu
US $21 jumla.
Express Freight/ Shipment (siku 3 hadi 7) - ndio Sababu jumla ya ghalama kuwa kubwa, ambapo kampuni kama DHL, ARAMEX, FEDEX ndio huusika katika kusafirisha bidhaa husika.
Tuangalie hii mifano miwili - Itakuwa msaada kwa wana JF wengine kuhusu masoko kundi B kama AMAZON, BESTBUY, etl
Mfano wa 1
View attachment 515561
Manunuzi US
$11.99 + kusafirisha
US $15.34 = Jumla ni
US $27.33
Mfano wa 2
View attachment 515563
Manunuzi
US $6.29 + kusafirisha
US $15.34 = Jumla
US $21.63
Je kwanini tunanunua kwenye masoko kundi B ili hali ghalama ya jumla inakuwa kubwa?
- Bidhaa husika haipatikani kwenye mitandao mingine.
- Bidhaa husika hata ukiipata kwenye mitandao mingine wauzaji hawatumikuja Africa.
- Masoko kundi B hutumika ili kupata bidhaa halisi na yenye ubora