jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Mkuu mimi nataka smartphone Gigaset Me pro,itagarimu kiasi gani mpaka kuiweka mkononi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama hiyo inajumuisha kila kitu pamoja na tax?
- Tax: Huwa ni baada ya mzigo kufika nchini iwapo tu mzigo itatakiwa ulipiwe kodi.Gharama hiyo inajumuisha kila kitu pamoja na tax?
Na je itachukua muda gani mpaka kuipata?
Vipi hiyo gharama na hizo specification ni sawa kuinunua hiyo simu?AU unaweza kunitajia sim ya aina nyingine yenye specification nzuri ya bei poa zaidi ya hiyo?- Tax: Huwa ni baada ya mzigo kufika nchini iwapo tu mzigo itatakiwa ulipiwe kodi.
- Itafika ndani ya siku 15
- Kwa TZS utalipia 684,657.79 ( Hii ikiwa ni pamoja na charges zangu)
Kutegemea na bajeti uliyotenga, waweza pia angalia moja ya hizi simuVipi hiyo gharama na hizo specification ni sawa kuinunua hiyo simu?AU unaweza kunitajia sim ya aina nyingine yenye specification nzuri ya bei poa zaidi ya hiyo?
Ndio zinafanya kazi.Hivi hizi receiver tunazo ziona eBay zina uwezo wakufanya kazi huku kwetu? Je zinahitaji dish gani ?
Mkuu upo?Ndio zinafanya kazi.
Hakikisha ni MPEG4
Dish size ni kuanzia ft4 na kuendelea.
Pitia michango ya wadau kwenye hizi link
Msaada: Hii decoder ya ebay nikiagiza itafanya kazi Tanzania?
https://www.jamiiforums.com/threads...-visimbusi-vya-kulipia.1022441/#post-15602858
kaka naomba ufafanuzi kidogo kwenye kulipia itemNdio zinafanya kazi.
Hakikisha ni MPEG4
Dish size ni kuanzia ft4 na kuendelea.
Pitia michango ya wadau kwenye hizi link
Msaada: Hii decoder ya ebay nikiagiza itafanya kazi Tanzania?
https://www.jamiiforums.com/threads...-visimbusi-vya-kulipia.1022441/#post-15602858
E BAYJe katika mtandao upi unataka kufanya hayo malipo?
Ahsante kwa mrejesho.Mfano umenunu bidhaa ya 20$.
Akikulipia na kukusafirishi inaweza fika kama 45$ inategemea na rate.labda uko mbal na dar hapo inabid huingie gharama tena bidhaa yako ikufikie.hapo utakuta bidhaa imegharimu pesa nyingi kusafirisha kuliko thaman yake..