Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu mimi nataka smartphone Gigaset Me pro,itagarimu kiasi gani mpaka kuiweka mkononi?
 
Mkuu mimi nataka smartphone Gigaset Me pro,itagarimu kiasi gani mpaka kuiweka mkononi?
upload_2017-5-20_8-27-17.png

Manunuzi US $284.73
 
Gharama hiyo inajumuisha kila kitu pamoja na tax?
Na je itachukua muda gani mpaka kuipata?
- Tax: Huwa ni baada ya mzigo kufika nchini iwapo tu mzigo itatakiwa ulipiwe kodi.
- Itafika ndani ya siku 15
- Kwa TZS utalipia 684,657.79 ( Hii ikiwa ni pamoja na charges zangu)
 
- Tax: Huwa ni baada ya mzigo kufika nchini iwapo tu mzigo itatakiwa ulipiwe kodi.
- Itafika ndani ya siku 15
- Kwa TZS utalipia 684,657.79 ( Hii ikiwa ni pamoja na charges zangu)
Vipi hiyo gharama na hizo specification ni sawa kuinunua hiyo simu?AU unaweza kunitajia sim ya aina nyingine yenye specification nzuri ya bei poa zaidi ya hiyo?
 
Vipi hiyo gharama na hizo specification ni sawa kuinunua hiyo simu?AU unaweza kunitajia sim ya aina nyingine yenye specification nzuri ya bei poa zaidi ya hiyo?
Kutegemea na bajeti uliyotenga, waweza pia angalia moja ya hizi simu
  • Xiaomi Redmi
  • Samsung Galaxy J7
  • OnePlus 3
  • LG G5
 
Okay hakuna matata
Mzigo wako umefika.

Je utamtuma mtu akuchukulie hapa Dar? au
Unataka mzigo ukufikie kwa njia ya EMS ambapo utalipia TZS 15,000 tu ili mzigo utumwe?.

Pls nicheck PM kuhusu hili.

Ahsante.
 
Hivi hizi receiver tunazo ziona eBay zina uwezo wakufanya kazi huku kwetu? Je zinahitaji dish gani ?
 
Mkuu Mwl RCT mzigo nimeupokea leo asubuhi..nashukuru sana kwa huduma mzuri kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
 
kaka naomba ufafanuzi kidogo kwenye kulipia item
wameweka njia mbili 1.visa,master card
2.paypal
naomba ufafanuzi ya kulipia kwa njia ya kwanza
Je katika mtandao upi unataka kufanya hayo malipo?
 
Nimechelewa lakini sio mbaya nitoe shukrani zangu...

Niliagiza mzigo wangu kupitia huzi huu na nikafata taratibu zote.

Cha kwanza cha kushukuru ni UWAMINIFU wa huju mwalimu.

Nimeupata kama nilivotarajia na haukua fake...

Changamoto
Mfano umenunu bidhaa ya 20$.
Akikulipia na kukusafirishi inaweza fika kama 45$ inategemea na rate.labda uko mbal na dar hapo inabid huingie gharama tena bidhaa yako ikufikie.hapo utakuta bidhaa imegharimu pesa nyingi kusafirisha kuliko thaman yake..

All in all huduma nzuri nimeipenda.soon nitaagiza tena
 
Mfano umenunu bidhaa ya 20$.
Akikulipia na kukusafirishi inaweza fika kama 45$ inategemea na rate.labda uko mbal na dar hapo inabid huingie gharama tena bidhaa yako ikufikie.hapo utakuta bidhaa imegharimu pesa nyingi kusafirisha kuliko thaman yake..
Ahsante kwa mrejesho.

Masoko kundi B hii ndio changamoto yake.

Mfano waweza nunua Earbuds katika soko kundi B kwa US $5 tu, lakini ikasafirishwa kwa US $16 kuja Tanzania; Hivyo hiyoitem ikakugalimu US $21 jumla.

Express Freight/ Shipment (siku 3 hadi 7) - ndio Sababu jumla ya ghalama kuwa kubwa, ambapo kampuni kama DHL, ARAMEX, FEDEX ndio huusika katika kusafirisha bidhaa husika.

Tuangalie hii mifano miwili - Itakuwa msaada kwa wana JF wengine kuhusu masoko kundi B kama AMAZON, BESTBUY, etl

Mfano wa 1
upload_2017-5-28_10-28-54.png

Manunuzi US $11.99 + kusafirisha US $15.34 = Jumla ni US $27.33

Mfano wa 2
upload_2017-5-28_10-33-9.png

Manunuzi US $6.29 + kusafirisha US $15.34 = Jumla US $21.63

Je kwanini tunanunua kwenye masoko kundi B ili hali ghalama ya jumla inakuwa kubwa?
- Bidhaa husika haipatikani kwenye mitandao mingine.
- Bidhaa husika hata ukiipata kwenye mitandao mingine wauzaji hawatumikuja Africa.
- Masoko kundi B hutumika ili kupata bidhaa halisi na yenye ubora
 
Niangalizie hiyo machine mwl tujue itanigharimu shingapi toka kwenye hii link;quick.co.id/id-combine-harvester-quick.html
 
Back
Top Bottom