Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Asantee
 
Chief kuna wakati uliweka computer hapa katika huu uzi ukasema inatunza chaji sana, nisaidie link niicheki
 
Kinachoumiza kununua bidhaa nje ni kodi
Kumbuk hata bidhaa zilizopo hapa nchini zimetoka nje na zimelipiwa kodi.
Tujenge utamaduni wa kulipa kodi.

Karibu
 
Kumbuk hata bidhaa zilizopo hapa nchini zimetoka nje na zimelipiwa kodi.
Tujenge utamaduni wa kulipa kodi.

Karibu
Sikatai kulipa kodi. Inakatisha tamaa kodi inapozidi bei ya kununulia bidhaa. Na urasimu juu
 
Kumbuk hata bidhaa zilizopo hapa nchini zimetoka nje na zimelipiwa kodi.
Tujenge utamaduni wa kulipa kodi.

Karibu
KAKA NAOMBA MSAADA KWENYE KU LINK KAD KWENYE PAYPAL KIPENGELE CHA CSC/CVC KINAJAZWA NINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…