Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari
- Je unahitaji USED au MPYA ?
- Je unahitaji ya size ipi 16GB au 32GB au 64GB?
angalau hata zote tujipime bei zake zilivyo na sie wengine

Post sent using JamiiForums mobile app
 
NAHITAJI MACHINE YA KUFULIA Mwl.RCT NAEZA KUCHAGUA KWENYE SITE GANI??NA JE IKIFIKA TZ KUNA MALIPO YOYOTE YATATAKIWA KULIPWA TENA?
 
Pia naeza kuagiza sofa nje??au garama itakua kubwa sana ,,kuna sofa nikiziangalia kwenye site naona nzuri sana,,muongozo plz Mwl.RCT
 
Manunuzi: $499.95
Kusafirisha: $275

Jumla: $775 (Sawa na TZS 1,822,025 ) Hi nighalama ya kuufikisha mzigo Tanzania.

Hapo kilichobakia ni ghalama ya TRA (TAX + VAT) hesabu yake itatokana na ghalama ya manunuzi yaani $499.95

Pia naeza kuagiza sofa nje??au garama itakua kubwa sana ,,kuna sofa nikiziangalia kwenye site naona nzuri sana,,muongozo plz Mwl.RCT
Ni kweli ghalama itakuwa kubwa sana.

Item yeyote yenye uzito mkubwa na ghalama ya kusafirisha huwa ni kubwa sana.
 
NAHITAJI MACHINE YA KUFULIA Mwl.RCT NAEZA KUCHAGUA KWENYE SITE GANI??NA JE IKIFIKA TZ KUNA MALIPO YOYOTE YATATAKIWA KULIPWA TENA?
Ndio waweza kupata mashine ya kufulia nje ya nchi.

Waweza kununua kwa ghalama ndogo

Ila sasa ghalama ya kusafirishia yaweza kuwa mara 3 - 5 ya ghalama ya manunuzi.

Ni vyema ukanunua hapa nchini.
 
Ndio waweza kupata mashine ya kufulia nje ya nchi.

Waweza kununua kwa ghalama ndogo

Ila sasa ghalama ya kusafirishia yaweza kuwa mara 3 - 5 ya ghalama ya manunuzi.

Ni vyema ukanunua hapa nchini.
ushauri mzuri sana, tunakushukuru.

Hivi kulikuwa na link moja hivi ya simu smartphone ulishauri tuinunue inatunza sana chaji, natamani kuifikia ilipo, nikuagize.
 
Habari
item kwenye link ya kwanza [ebay] haipo kwa sasa.

Link ya pili [aliexpresa]
- Utalipia TZS 125,637.44 hadi kuupata huu mzigo
-nItachukua wiki 2 hadi 3

View attachment 546284
Manunuzi: $499.95
Kusafirisha: $275

Jumla: $775 (Sawa na TZS 1,822,025 ) Hi nighalama ya kuufikisha mzigo Tanzania.

Hapo kilichobakia ni ghalama ya TRA (TAX + VAT) hesabu yake itatokana na ghalama ya manunuzi yaani $499.95
Duh mkuu yani inaweza kufika million 2 na hapo bado spika zake.
Embu ngoja niendelee kusakanya ambayo nitapata kwa bei nafuu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…