Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Ticha ile group ya telegram imeunda tayari kama tayari usisahau kuniunganisha
Bado mkuu.

Order zote zinafanyika kupitia hii thread, au waweza tuma kwa whatsapp.

Karibu
 
naomba unichekie hii mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
upload_2017-8-16_6-37-9.png

Nimemtumia ujumbe seller ili kujua
a) Atatuma Tanzania kwa ghalama kiasi gani?
b) Ni njia ipi ya usafirishaji atakayotumia?

Nitakujulisha ghalama kamili pindi nipatapo haya majibu

Karibu
 
Back
Top Bottom