Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

nichekie itanifikia kwa ngapi jumla

android phone
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Mwl habari,, pole kwa majukumu, msaada kidogo mwl
Ivi kwa bidhaa abazo zinakua zaidi ya moja yaani mfano shati zinakua zaidi ya 5 alafu bei imeandikwa 9$ hiyo inakua bei ya izo item zote au moja moja?

Mfano apo mkuu

Nawasilisha, ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi kwa bidhaa abazo zinakua zaidi ya moja yaani mfano shati zinakua zaidi ya 5 alafu bei imeandikwa 9$ hiyo inakua bei ya izo item zote au moja moja?
Bei ni kwa shati moja tu.

Wameweka zaidi yamoja kwa rangi tofauti tofauti ili uweze kuchagua rangi utakayoihitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…