Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hapo ni:
- Manunuzi
- Kusafirsha &
- Charges zangu

Kuhusu TAX - iwapo utatakiwa kulipia
- Ghalama hujulikana baada ya mzigo kufika nchini.
- Mamlaka husika ndio hukokotoa kiwango inachotakiwa kulipia, Hivyo uwe tayari kulipa kodi husika pindi.
- Bei ya manunuzi ndio hutumika katika hesabu za TAX.

mkuu mpaka naupata mkononi??? namaanisha hapo na gharama zako pamoja na tax
 

asante mkuu
 
Habari za kwako mkuu,kwa uzoefu wako nikitaka kuagiza viatu vya ngozi
toka nje,bei yake yaweza kuwa sawa au kuzidi ya bongo?
 
Habari za kwako mkuu,kwa uzoefu wako nikitaka kuagiza viatu vya ngozi
toka nje,bei yake yaweza kuwa sawa au kuzidi ya bongo?
Ukiagiza toka UK / USA ghlama ni kubwa kuliko hapa TZ

Na ukiagiza toka China waweza kupta kwa bei nafuu.
 
Naomba Uniangalizie CI Card ya Samsung SMART TV Model Code UA40F7500 na mpaka ifike mkononi itakuwa shilingi ngapi?.
 
View attachment 579833

Ghalama: TZS 116,141.32

Itachukua: Wiki 3 kufika

Kwa taratibu za malipo: Niandikia PM au Whatsapp 255 784 496 856

hii ipo, Ninayoitaji ni ile inayoingia ndani ya hii, ambayo kwenye izi video zilizojitokeza YouTube inaonekana ikitolewa ndani ya box dogo pamoja na card CI or CI+ Card na nyingine naziona zimeshikwa mkononi ila sijajua kama ni za Samsung.
TUMIA CI TV CARD utaziona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…