Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Naomba Uniangalizie CI Card ya Samsung SMART TV Model Code UA40F7500 na mpaka ifike mkononi itakuwa shilingi ngapi?.
Skylink Ready IRDETO CI+ CAM modul pre všetky Skylink karty 100% kompatibilita | eBay HABARI ZA SAA HII, naomba garama zote hadi mkononi ni shilingi ngapi
View attachment 579833

Ghalama: TZS 116,141.32

Itachukua: Wiki 3 kufika

Kwa taratibu za malipo: Niandikia PM au Whatsapp 255 784 496 856


 
Mwl.nimepata dvd player yangu ipo well packed mtu akiiona anaweza kufikiri kuwa nimeinunua duka la hapa jirani!.....Thank you in advance!
 
Kweli kusafirisha huwa inaumiza sana!! Nmeitafta hii kitu dar sjaipata
 
Mwl. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sita shukuru kwa kupata mzigo nilioagiza kwa kupitia wewe..
Mzigo nimeupata ukiwa salama kabisa
Mungu akubariki kwa moyo huo huo wa uaminifu ulionao..
Mwanzo niliogopa sana kutuma zaidi ya usd 300 kwa mtu nisiye mfahamu..
Ukizingatia utapeli hapa jamiiforum kila siku unaota mizizi...
Mimi niliagiza finned Tubular air heater
Mungu akubariki sana mkuu.
 
Ahsante kwa mrejesho

Share na wengine kuhusu JF kwa kuwapa hii link: www.bit.ly/101buy4me

Karibu
 
Mkuu nataka kununua mojawapo ya simu hizi naomba nipe cost ili tufanye biashara
1.xiaomi redmi 4 prime
2.xiaomi redmi note 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…