Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1.xiaomi redmi 4 prime
TZS 466,147.2

Specification
- 4GB RAM / 64GB ROM
- Fingerprint ID
- Snapdragon 435 Octa Core
- 13MP Camera
upload_2017-9-22_10-43-14.png

xiaomi redmi note 4
TZS 377,198.8

Specification
- 3GB ram / 16GB rom
- Snapdragon 625 Octa Core
- 13.0MP 5.5" Fingerprint ID
- 4G LTE
upload_2017-9-22_10-46-8.png


Muda wa kusubiri: Ndani ya Wiki 2 - 3

Hizo screenshot ni order za wadau wengine wa JamiiForum

Karibu
 
[emoji120] [emoji122] [emoji122] Nashkuru mzigo wangu umefika salama na pump zote ziko in good condition. Looking forward to doing big time business together in the near future man.

Nakupongeza pia ulifanyia kazi suala la ofisi, inaongeza confidence kwa wateja.

Strength yako kubwa upo kwenye Quick response
 

Attachments

  • 20170926_173437.jpg
    20170926_173437.jpg
    44.2 KB · Views: 86
  • 20170926_162656.jpg
    20170926_162656.jpg
    43 KB · Views: 85
[emoji111] [emoji106]
 

Attachments

  • Screenshot_2017-09-26-23-52-01.png
    Screenshot_2017-09-26-23-52-01.png
    63.4 KB · Views: 83
Mkuu Nipe link ya kujiunga hilo group namimi nataka niagize bidhaa nje
Mkuu hili ni group dogo kati ya mimi, agent wa huko China na agent wa hapa ambaye ndo huyu mwenye uzi. Mimi na-deal na issue za kufuga samaki hivyo bidhaa zangu nazoagizaga nyingi ni za mambo hayo. Wewe check tu na mwenye uzi huu he is more than reliable wala hutojutia. Actually sijui hata sura yake anafananaje lakini ashaniletea mzigo zaidi ya mara tano bila shida
 
View attachment 478087

Bei ya manunuzi inategemea size ipi umechagua, Je kati ya 16GB, 32GB & 64GB ipi unahitaji?

Je unataka rangi ipi kati ya hizi? - White, space gray, au Gold

NB
- Muuzajia hatumi moa kwa moja Tanzania
- Hivyo mzigo utapokelewa kwanza HONG KONG, ndipo utumwe tanzania
- Kutakuwa na malio awamu Tatu
1. manunuzi - ili kujua cost chagua size kwanza
2. usafirishaji
3. Kodi/ VAT baada ya bidhaa kufika nchini.

USHAURI
- ili kupunguza ghalama
- Tumia FREE SHIPPING, hivyo chagua simu hapa
Code:
 http://www.fastcardtech.com/  au www.ebay.com
 
TZS 466,147.2

Specification
- 4GB RAM / 64GB ROM
- Fingerprint ID
- Snapdragon 435 Octa Core
- 13MP Camera
View attachment 593374

TZS 377,198.8

Specification
- 3GB ram / 16GB rom
- Snapdragon 625 Octa Core
- 13.0MP 5.5" Fingerprint ID
- 4G LTE
View attachment 593375

Muda wa kusubiri: Ndani ya Wiki 2 - 3

Hizo screenshot ni order za wadau wengine wa JamiiForum

Karibu
Shukrani mkuu je hakuna gharama za ziada?
 
Imani ndogo siwe kutuma huku office haijulikani unhefanya hiv mtu akupe link mnunulie weka agents wako mzigo ukifika unapigiwa simu unalipia
 
Imani ndogo siwe kutuma huku office haijulikani unhefanya hiv mtu akupe link mnunulie weka agents wako mzigo ukifika unapigiwa simu unalipia
Ahsante kwa maoni yako.

ila

Tumia muda kusoma na kuelewa hii thread.

Utajifunza kitu na Utagundua umuhimu wa uwepo wa hii huduma.

Ambapo waweza kufikishiwa nchini kitu chochote toka ULAYA, ASIA na MAREKANI.

Karibu
 
Mbona gharama ni kubwa as i expected boss, nipe mchanganuo kidogo.
Utangulizi
- Amazon: Ni miongoni mwa masoko KUNDI B,(rejea post namba moja)
- Kwa soko kundi B - waweza kununua bidhaa kwa $8.23 ,
upload_2017-9-27_11-12-33.png

Na bidhaa hiyo hiyo inasafirisha kuja Tanzania kwa $22
Hivyo kufanya ghalama yote kuwa $30.23

Mchanganuo wa Ghalama zako

upload_2017-9-27_11-16-0.png

1. Manunuzi na kuufikisha item ofisini (NY - USA ) ni $17.92
2. Ghalama ya kusafirisha kuja Tanzania ( NY - TZS ) ni $22
3. Jumla ni $39.92 ( amazon exchange rate ni $1 = TZS 2360 )

Hivi ndio nilivyopata hesabu hapo juu

Karibu
 
Naomba bei mpaka naipata mkonon ni tsh ngapi,mazabodi ya Mac book pro core i7
 
Back
Top Bottom