Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwalim nahitaji iphone 6s,iwe na 64gb,pink or white grey colour,iwe from US tafafhali,naomba bei.
Utalipia TZS 1,025,726.8

NB:
Iwapo mzigo utazuiwa na TRA hapa nchini, uwe tayari kulipia kodi. Ghalama za Kodi/ VAT zinakokotolewa kutakana na thamani ya mzigo, Na mamlaka husika ndio itatujulisha kiasi cha kulipia.

Karibu
 
Naomba msaada wa kuagiza simu za tecno au infinix kutoka China ..
 
Taraibu za kufanya order ni hizi.
- Tafuta simu husika online
- Nipe link yake, Nitaikagu, Na kukupa ghalama zake.
- Utalipia, Then utasubiri mzigo wako ufike.

Hivyo kikubwa ni wewe kunipa link.
 
Nimehangaika sana hizi simu hazipatikani kwenye online shops zaidi ya spare parts tu
 
Utalipia TZS 1,025,726.8

NB:
Iwapo mzigo utazuiwa na TRA hapa nchini, uwe tayari kulipia kodi. Ghalama za Kodi/ VAT zinakokotolewa kutakana na thamani ya mzigo, Na mamlaka husika ndio itatujulisha kiasi cha kulipia.

Karibu
Hao jamaa wa kodi ndio hawatabiriki mkuu,usishangae ukaambiwa kodi laki 5.
 
Good idea but..inaumiza kama sio kukomoana... sema ndo mifumo iliyopo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…