Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Habari ndugu TATIANA
Utangulizi
Kwa bidhaa zenye uzito mkubwa kama TV, Ni vyema ukanunua hapa nchini, sababu
- Ghalama ya usafirishaji iko juu - hii ni kutokana na uzito wa bidhaa husika
- Kuna ghlama ya kodi/ VAT baada ya mzigo kufika nchini
Amapo ukijumlisha ghalama zote, inakuwa ni kubwa ukilinganisha na bei za hapa nchini.
Hii mpaka niipate itagharimu shilling NGAPI?
- Ghalama yote nivigumu kufahamu, sababu malipo yako katika awamu tatu, Malipo ya awamu ya kwanza na Pili yanajulikana, Ila ya awamu ya tatu hayajulikani

Malipo Awamu ya kwanza
: MANUNUZI - Hii ndio ghalama iliyo andikwa $123.00 sawa na TZS 290,280: Hii ni ghalama ya kuufikisha mzigo popote ndani ya USA

Malipo Awamu ya pili: USAFIRISHAJI - Toka USA kuja TZ: Ghalama hii inatokana na uzito wa mzigo

Kwa uzito huu, Usafirishaji ni $192.34 sawa na TZS 453,922.4

Malipo awamu ya Tatu: Haya ni malipo ya:
- Kodi /VAT - Mamlaka husika ndio hutitajia baada ya kuukagua na kuhakiki mzigo.
- Swisport charges hii iko fixed TZS 27,000
- Hivyo Jumla ya malipo kwa awamu ya tatu haiwezi kujulikana hadi mzigo ufike nchini.
Hii mpaka niipate itagharimu shilling NGAPI?
bila shaka nimejibu hili swali lako.

KARIBU
 
Asantee sana bro kwa ushauri wako. Ngoja nitafute hapa nyumbani maana ufafanuzi wako ni wa kina sana, nashukuru kwa muda na juhudi zako... Stay blessed
 
Mkuu vipi costs zako za usafirishaji relatively compared to myus.com
 
Mkuu vipi costs zako za usafirishaji relatively compared to myus.com
Zangu ziko chini.
Kama uliwahi kuwa tumia MYUS, nipe uzito wa item katika LB au KG uliyonunua awali, then mimi nitakupa ghalama yangu ya kusafirishia, kisha linganisha na ambayo ulilipia MYUS.
 
Nitatumia hiyo DHL economy,nataka hiyo simu kwanza zile item nitanunua nikiipata simu kwanza.
sasa nipe total price kwa hela yetu ya madafu,unitumie na namba ya kumbukumbu ya malipo kwa PM
Done, pls check PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…