Nimepokea malipo uliyofanya.Nitatumia hiyo DHL economy,nataka hiyo simu kwanza zile item nitanunua nikiipata simu kwanza.
sasa nipe total price kwa hela yetu ya madafu,unitumie na namba ya kumbukumbu ya malipo kwa PM
ShukranNimepokea malipo uliyofanya.
Nitakupa update hivi karibuni.
Karibu
Noted. Ahsante kwa kutushirikishaTahadhari Kuna Jamaa yangu ametumiwa Simu 4 Via USPS Priort Mail toka kwa ndugu yake aliyeko USA.
Mzigo ulilikuwa Packed katika box mbili tofauti kwa maana Kwamba kila box zimewekwa simu 2.
Mzigo ulichelewa sana kumfikia kule Zanzibar na hata ulipofika alifungua pale Kaunta na kukuta box zote hazina kitu licha ya kufungwa vizuri.
Hata 32gb inatosha!Je rom iwe GB ngpi kwa kila moja?
Habari mkuu?
Naomba kufahamu gharama ya kuagiza kati ya hizi simu mpaka naipokea toka kwako ni sh ngapi?
1. Xiaomin mi6
2. Xiaomin redmi note 4
Hadi inafikia mkononi sh ngapi?Taraibu za kufanya order ni hizi.
- Tafuta simu husika online
- Nipe link yake, Nitaikagu, Na kukupa ghalama zake.
- Utalipia, Then utasubiri mzigo wako ufike.
Hivyo kikubwa ni wewe kunipa link.
Taraibu za kufanya order ni hizi.
- Tafuta simu husika online
- Nipe link yake, Nitaikagu, Na kukupa ghalama zake.
- Utalipia, Then utasubiri mzigo wako ufike.
Hivyo kikubwa ni wewe kunipa link.
Chagua kwenye hii link: xiaomi redmi note 4 - Buy Cheap xiaomi redmi note 4 - From BanggoodHadi inafikia mkononi sh ngapi?
AliExpress Mobile - Global Online Shopping for Apparel, Phones, Computers, Electronics, Fashion and more
Kwa bidhaa toka nje ya nchi, huwa kuna baadhi ya bidhaa hazina kodi, na zingine zikiwa na kodi.Hivi simu huwa kuna kodi maana hili linaumiza asee