Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Original Xiaomi Redmi 5 2GB 16GB Snapdragon 450 Octa Core CPU Mobile Phone 5.7" 18:9 Full Screen Display Redmi5 Fingerprint ID -in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
TZS 382,320

Original Xiaomi Redmi 5 3GB 32GB Snapdragon 450 Octa Core CPU Mobile Phone 5.7" 18:9 Full Screen Display Redmi5 Fingerprint ID -in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
TZS 413,000
 
Habari
- Chukua xiaomi, Ni global ROM, ina play store, Long lasting battery - US $189.83
- UMIDIGI japo ina 6GB ram, hapana sikushauri kuchukua hii - US $177.21
- Tofauti ya bei ni USD 12.62,
- Utaratibu wa malipo nimekutumia PM
vs

 
Boss hii no kweli haivunjiki au? Hata ikidondoka au hawa jamaa wanadanganya!
Ni moja kati ya simu bora na imara, ingia youtube angalia video zaidi za test tofauti tofauti.

Drop test
 
Ni moja kati ya simu bora na imara, ingia youtube angalia video zaidi za test tofauti tofauti.

Drop test

Mbona jamaa wanalalamika ni uongo kwenye comments mkuu kuhusu hili lakugonga simu na nyundo
 
Mbona jamaa wanalalamika ni uongo kwenye comments mkuu kuhusu hili lakugonga simu na nyundo
Inachotakiwa kutambua ni kuwa upande wa display iko vyema. Angalia simu kama hii

Au hii hapa chini: K10000 Pro, 10,000mAH battery, Ndio ninayotumia
Testing ni kweli huwa zinafanyika na sio fake

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…