Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu nataka kuagiza incubator toka nje ila sina lolote nalofahamu kuhusu hii product unaweza nishauri kwa kunipatia reliable link zenye uwezo wa mayai 300 mkuu kwa reasonable price na durability isiwe mbovu na je kodi wanakata kwenye vitu kama hivi vya kijasiriamali.ahsanteh
 
Mkuu nataka kuagiza incubator toka nje ila sina lolote nalofahamu kuhusu hii product
Je ni kwanini uagize bidhaa ambayo huifahamu.
kunipatia reliable link zenye uwezo wa mayai 300
Ni jukumu lako kutafuta bidhaa unayohitaji.
Utanipa link ya bidhaa husika, nitaipitia na kukushauri kama ni link sahihi au la.
Na mchakato wa kuifikisha nchini hiyo bidhaa utaanza mara moja.
mayai 300 mkuu kwa reasonable price na durability isiwe mbovu na je kodi wanakata kwenye vitu kama hivi vya kijasiriamali.ahsanteh

Fanya utafiti wa bidhaa unayohitaji.
Ndipo swala kuagiza lifuate.

kodi wanakata kwenye vitu kama hivi vya kijasiriamali
- Mamlaka husika ndio inahusika na kodi/ vat kwa bidhaa zote zinazoingizwa nchini, Iwapo inalipiwa au hailipiwi wao ndio wahuisika kati hili.

Ahsante
 
Mkuu nataka kuagiza incubator toka nje ila sina lolote nalofahamu kuhusu hii product unaweza nishauri kwa kunipatia reliable link zenye uwezo wa mayai 300 mkuu kwa reasonable price na durability isiwe mbovu na je kodi wanakata kwenye vitu kama hivi vya kijasiriamali.ahsanteh
Mkuu acha kukwepa jukumu lako la kutafuta link ya bidhaa husika na kumpa mwl.RCT![emoji53][emoji53][emoji53].....ni tabia mbaya hiyo ujue!
 
2017-12-30_20-06-06.png

Kiasi utakacholipia: TZS 35,966.4

Muda wa kusubiri: Wiki 3

Karibu

SNAGHTML342d306.PNG
 
Vp mwalimu kuhusu blackberry z 30 Mpaka inafka bongo land
Hii tuataagiza toka UK.
Zipo mpya na zilizotumika.

ILIYOTUMIKA
upload_2017-12-31_12-53-11.png

KWA MPYA
upload_2017-12-31_12-53-54.png

Je hitaji lako ni ipi?
- Iliyotumika au mpya
- Nijulishe ili nikupe ghalama ya kuifikisha Dar.
- Itachukua wiki 2 hadi 3 kufika
 
TZS 73,160
Muda: Wiki 3
TZS 73,160!?

Mbn una charge gharama kubwa sana kama kuipata ni week3! Mana week tatu ni for standard shipping na sio premium shipping! Kama ni standard shipping kwann ucharge gharama kubwa hivo!?
 
TZS 73,160!?

Mbn una charge gharama kubwa sana kama kuipata ni week3! Mana week tatu ni for standard shipping na sio premium shipping! Kama ni standard shipping kwann ucharge gharama kubwa hivo!?
upload_2018-1-1_17-7-4.png

Ukiona item kwenye site, Angalia pia ghalama ya kusafirishia ni kiasi gani.
 
So hapo bonus yako ni kama 20k sio!? Hahaha duh... kumbe hela inapatikana kirahisi namna hii
upload_2018-1-1_17-14-28.png

Sorry
- Kwenye link husika kuna option zaidi ya moja, na kila option inakupa bei tofauti, hesabu ya hapo juu ilitokana na hii option (picha hii ya pili), na screen shot ya hapo juu ikawa na price tofauti.
- Hivyo ni jukumu lako kuchagua option sahihi ili upate bei stahiki, Jaribu kuipitia upya link.

Karibu
 
Mkuu xiaomi redmi note 4 64 GB 4 GB ram
upload_2018-1-2_10-45-15.png

Code:
https://www.aliexpress.com/item/Global-Version-Xiaomi-Redmi-Note-4-Smartphone-4GB-RAM-64GB-ROM-Snapdragon-625-Octa-Core-CPU/32802702957.html
TZS 482,384
 
Back
Top Bottom