Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nitaupata mzigo wangu baada ya malipo exactly?
Naomba pitia vyema post namba moja, Nimeweka utaratibu wa kufuata ili kufanikisha manunuzi ya kitu chochote kile.
but naichukia TRA na sitaki ata kuona masura yao,jee utafanya clearance ya kulipia kodi mwenyewe then mm nakulipa full amount?
Swala la kodi pia nimetolea ufafanuzi.

Pitia tena posti ya kwanza na ya pili.

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…