Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nitakutumia pesa nifanye malipo baada ya malipo kufanyika utanipa mrejesho lini nijiandae kwa hiyo nitatuma 95K nadhami itatosha ikishafika mimi ntafanya utaratibu wa nauli ya kuileta mpk huku ntaituma ..
 
Unapolinganisha vitu viwili, lazima kuwe na kigezo?

Je tutumie kigezo kipi?

Kila site ( aliexpress, amazon, ebay) ina pros na cons zake.

Karibu
Ipi ni nzuri kwa kuagiza vitabu?
Iyo ali sioni vitabu vya UK na America so naona iko kichina zaidi
 
Kwa softcopy - Amazon & kobo .com
Kwa hardcopy - Amazon hana mpinzani.
Na mkuu vp ile ya kununua kitabu kutoka kwenye website ya publisher?

Mfano kitabu publisher ni Oxford....sasa mimi badala ya kwenda amazon nataka ninunue kutoka kwenye website ya oxford....hiyo vp??

Kama hivi Mkuu



Naona happ wanaonesha STANDARD mail ni free (0£) ila international carrier ni (£5 na 10) unaweeza kunielewesha apo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…