Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Okey nipe total cost ya xiaomi mi A1 global ya 4ram 64 GB iwe na cover pamoja na protector sijajua kuhusu headphone
 
Okey nipe total cost ya xiaomi mi A1 global ya 4ram 64 GB iwe na cover pamoja na protector sijajua kuhusu headphone
Headphone huwa wanauza peke yake.

Soon nakupa bei ya hiyo simu
 
Naona nyingi zina order au ndo hizo?nadhani redmi 4x 3gb ram 32gb ROM itafaa
 
Attachments

  • upload_2018-1-20_9-19-50.png
    233.6 KB · Views: 78
Habari
Tumia sites nilizopendekeza kwenye post yangu mamba mbili,misha Nile link ya bidhaa uliyochagua.

Karibu

Habari mkuu
Pole na majukumu
Nilikua nataka kuagiza hii bizaa HYBRID DUAL SIM card YA SAMSUNG S7 edge/ANDROED

Hizi zote ni aina moja tu.
Je itanigalimu kiasi gani mdau mpaka mkononi mwangu!! Aksante
 
Habari mkuu
Pole na majukumu
Nilikua nataka kuagiza hii bizaa HYBRID DUAL SIM card YA SAMSUNG S7 edge/ANDROED

Hizi zote ni aina moja tu.
Je itanigalimu kiasi gani mdau mpaka mkononi mwangu!! Aksante
Nipatie link ya hii item
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…