Ngosi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 390
- 189
Vipi mkuu hii webiste Your Shopping friend in Africa - EasyBuyAfrica - Site inahusika na wewe au, maana naona na wao wanatoa huduma kama yako na wanasema wabia na Vodacom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, Sihusiki nayo hiyo site.Vipi mkuu hii webiste Your Shopping friend in Africa - EasyBuyAfrica - Site inahusika na wewe au, maana naona na wao wanatoa huduma kama yako na wanasema wabia na Vodacom
Habari
Naomba unipatie link ya bidhaa unayohitaji.
Ndio inawezekana mkuu, Ghalama na mchanganuo utatokana na link utakayonipatia.Mkuu vipi kuhusu vyombo vya usafiri, let say nahitaj gari from Japan. Nayo inawezekana?
BOSS NAHITAJI HII KITU (BLACK COLOUR), IWE SHIPPED KWENYE ADRESS YANGU. 11.1 USD (Item+shipping), tuwasiliane kuhusu malipo PM
Beworlder For Xiaomi Redmi 5 Plus Tempered Glass Full Screen Cover 10 Pieces/Lot Protector Film Protective For Redmi 5Plus-in Screen Protectors from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
View attachment 684499
View attachment 683898
TZS 82,600