Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nimekupata vyema

Kwa hiyo bajeti chukua simu hii:

Xiaomi Redmi Note 5A Prime
- 3GB RAM 32GB ROM
- Snapdragon Octa Core
- 5.5 Inch
- 16.0MP Front Camera

Kiasi utakacholipia ni TZS 357,360 hadi inakufikia
Betri lake lina mAh ngapi chaji inaweza kudumu kwa muda gani??

Je, ina fingerprint?

Nimeshaiona ni kali hiyo
 
Kwenye Betri hapo

Sijui km itakuwa na uvumilivu ktk matumizi ya internet
Iwapo interest ni simu yenye betri nzuri basi tafuta simu yenye betri size kuanzia 6000mAh hadi 10,000mAh

Na sifa kubwa ya hizi simu ni kuwa utaiweka kwenye charge kila baada ya siku tatu (au mbili) kwa matumizi ya internet utakayokuwa nayo.

Na iwapo unakuwa safarini basi hizi simu unaweka off data, network unabadili na kuweka EDGE - Hapo unauhakika wa kutumia simu na kuiweka kwenye charge kila baada ya wiki moja.

Amini zipo smartphone za kuchaji mara moja kwa wiki - ni bajeti yako ti.

Nini cha kufanya
- TUMIA GOOGLE; search simu zenye betri kubwa, kisha pitia reviews za watumiaji, na ingai ALIEXPRESS na uiangalie, Kisha nipe link na nitakupa ghalama kwa TZS.

KARIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…