Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kwa hizi simu za XIAOMI ni vyema ukaangalia kwenye site za china direct kama
- aliexpress
- banggood etl

Sababu
- Amazon ipo soko kundi B
- Njia ya usafirishaji kuja TZ ni kupitia DHL ambayo ni ghalama kubwa USD22 zaidi, wakati kwa aliexpress standard shipping huwa chini ya dola 10.
- Hivyo kwa amazon unaongeza ghalama badala ya kupunguza, hata kama utaipata kwa bei ya chini.
 
Mkuu wife anataka simu kachagua Samsung S5 ntaipata kwa sh ngap
TZS 549,608
upload_2018-2-20_13-31-22.png
 
Mkuu Hebu niambie hii mpaka niipate Kiasi gani kitangharimu??
Code:
https://www.amazon.com/Casio-CTK2400-61-Portable-Keyboard/dp/B00JZEW3KC/ref=pd_sbs_267_2?_encoding=UTF8&pd_rd_i=B00JZEW3KC&pd_rd_r=MGG3NBDCEQS4KZ04FSEZ&pd_rd_w=5hEJK&pd_rd_wg=GKWg6&psc=1&refRID=MGG3NBDCEQS4KZ04FSEZ
 
TZS 636,645.06
 
Back
Top Bottom