Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Thread starter
- #1,461
Kwa hizi simu za XIAOMI ni vyema ukaangalia kwenye site za china direct kama
- aliexpress
- banggood etl
Sababu
- Amazon ipo soko kundi B
- Njia ya usafirishaji kuja TZ ni kupitia DHL ambayo ni ghalama kubwa USD22 zaidi, wakati kwa aliexpress standard shipping huwa chini ya dola 10.
- Hivyo kwa amazon unaongeza ghalama badala ya kupunguza, hata kama utaipata kwa bei ya chini.