Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Code:
https://www.amazon.com/Huntington-KB54-100-Portable-Electronic-Keyboard/dp/B005JK63JS/ref=sr_1_9?ie=UTF8&qid=1519125293&sr=8-9&keywords=mini+keyboard+piano+for+beginner
TZS 621,246.56
  • Mzigo unakuja kwa ndege
  • Ghalama ya kusafirishia inatokana na uzito wa item husika.
  • NB: Amazon ni soko kundi B: Bidhaa yaweza kuuzwa kwa bei ndogo mfano dola 20, lakini kutokana na uzito mkubwa waweza kuta ghalama ya kusafirishia ikawa mfano dola 90 na kufanya jumla kuwa dola 110
 
NB: Amazon ni soko kundi B: Bidhaa yaweza kuuzwa kwa bei ndogo mfano dola 20, lakini kutokana na uzito mkubwa waweza kuta ghalama ya kusafirishia ikawa mfano dola 90 na kufanya jumla kuwa dola 110
Asante kwa Maelekezo mazuri, hata mie nilishtuka kidogo, Tafadhali nipatie Kundi ambalo halina kaliba hiyo ( bei ndo gharama ya kusafirishia kubwa) Ili nitumie hilo kuchek bidhaa ninayohitaji.

Asante
 
Asante kwa Maelekezo mazuri, hata mie nilishtuka kidogo, Tafadhali nipatie Kundi ambalo halina kaliba hiyo ( bei ndo gharama ya kusafirishia kubwa) Ili nitumie hilo kuchek bidhaa ninayohitaji.

Asante
Angalia www.aliexpress.com
Ebay pia waweza angalia, Ila kwa ebay seller walio wengi items zenye uzito mkubwa hawatumia africa, hivyo tunalazimika kutumia utaratibu wa soko kundi B.

Karibu
 
Asante Boss
Tafadhali Ingia hapa kisha niambie, Samaha kama nakuwa msumbufu, ila nina uhitaji wa hii kitu
Code:
https://www.aliexpress.com/item/Black-61-Keys-Music-Electronic-Keyboard-Key-Board-Kids-Gift-Electric-Piano-Gift-With-Mini-Microphone/32817479159.html?spm=2114.search0104.3.48.70425ea8oEVjr2&ws_ab_test=searchweb0_0,searchweb201602_3_10152_10151_10065_10344_10068_10342_10343_10340_10341_10084_10083_10618_10630_10307_5722316_5711211_10313_10059_10534_100031_10629_10103_10626_10625_10624_10623_10622_10621_10620_10142-10152_10151,searchweb201603_2,ppcSwitch_5&algo_expid=be55b81b-b5bc-4995-9487-a0b0468e1ee0-7&algo_pvid=be55b81b-b5bc-4995-9487-a0b0468e1ee0&priceBeautifyAB=0
 
Mkuu MwlRCT nashukuru mzigo nimeupokea ukiwa salama na kama nilivyotarajia.
 
Asante kwa huduma Tayri nimepokea kifaa changu na kiko poa sana.
Tuko pamoja wadau wng kwa huduma makini. Msisite kufanya na huyu jamaa.


[emoji120]
 
Sijajua km inaweza kuingia line ya Sim au nimejaribu kusoma nimeshindwa
Kwanza inatakiwa tujifunze nini maana ya Wireless Repeater
Code:
A wireless repeater takes an existing signal from a wireless router or wireless access point and rebroadcasts it to create a second network.
Sijajua km inaweza kuingia line ya Sim
* Hiki kifaa hakitumii laini ya simu.
* Hiki kifaa kinapokea wireless network ambayo ni dhaifu na haifiki mbali, na kuikuza na kuifikisha umbali mkubwa.
* Mfano: WiFi kutoka kwenye simu yako yaweza isifike ghorofa ya pili kwenye jengo flani, lakini kwa kutumia kifaa kama hiki, waweza fikisha wifi ya simu yako kwenye hiyo ghorofa ya pili au zaidi na ikawa na ufanisi mkubwa
 
OK Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…