Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nashukuru sana ticha nlikua muoga snaa (3milin)kufany busnes na ww atimaye mzigo nimeupata ukiwa safiiii kabsa alichonifraisha zaidi uyu jamaa anajibu text kwa wakat whtsp and kila kitu kipo open
 
Nashukuru sana ticha nlikua muoga snaa (3milin)kufany busnes na ww atimaye mzigo nimeupata.....
Shukrani sana kwa mrejesho wa hii huduma yangu BUY4ME

Pia shukrani za kipekee ziwafikie wana JF kwa ujumla, kwa kuwa na imani na mimi katika huduma hii ya manunuzi na usafirishaji wa bidhaa toka nje ya nchi.

Angalia hizi screenshot
Ukiangali hapo ni zaidi ya 10m, Mwana JF ambaye sijawahi onana naye kwa sura zaidi ya mawasiliano ya simu/whatsapp/email amenitumia fedha na kumfanikishia manunuzi mtandaoni+ usafirishaji na mizigo imemfikia ikiwa salama kabisa.

Pia shukrani kwa ushirikiano ninaopata toka kwa Wana JF pindi inapotokea kukawa na delay ya mzigo kufika.

Ahsanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…