Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

kuna xiomi redmi note 4..nlisikia unasema unaagiza kwa 280000 je hiyo ni bei hadi inafika mkononi pamoja na gharama zake??..
pia hiyo xiomi inakua na specification gan kwa upande wa ram na internal memory...
shukran
Ni hii Xiaomi Redmi 4A. 2GB/ 16GB
 
sawa mkuuje hiyo 280000 inakua ndo online price au inajumuisha bei ya bidhaa,shipping cost na tax?
 
Nataka hii Mkuu


au hii
 
Honestly unafanya kazi nzuri sana..nakufuatilia Kwa umakini..nitakupa dili soon..
 
Natumai hamjambo ndugu wanaforrum, Kwanza natowa shukran Kwa jamii ya forum, kwani nikupitia mawazo ya mwanachama m'moja ndipo nimeweza kununuwa simu yangu mpya aina ya Xiaomi Redmi 5A,kupitia Jumia Kenya, ni simu poa, lkn ina mambo mengi Sana kuilewa. Je Tz zapatikanwa simu hizi?.
 
Uncle Nataka Niagize Display ya Galaxy J3 2016 Nisaidie Pamoja na Gharama zake Pia!
 
Jumia Kenya wanatuma Pia Tanzania?
 

Manunuzi na kusafirisha itaghalimu TZS 319,680

Muda: Kuanzia wiki tatu (3)

Utaratibu wa malipo: Nimekutumia PM

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…