Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

BLU R1 HD (16GB, 2GB RAM) 5.0" 4G LTE Dual Sim Android 6.0 UNLOCKED R0031U BLACK | eBay

Salaam, naomba niangalizie hii mpaka kufika Mbeya itakuwa bei gani. Asante.
- Link siyo sahihi kufanyia manunuzi, Bei haina uhalisia, Bei ya hizi simu huwa si chini ya USD 65 (kabla ya kuweka shipping cost)
- Hivyo Angalia seller mwenye logo ya Top-Rated seller
upload_2018-4-8_8-12-27.png
 
Mwl.RCT Mimi naomba unitajie tu Amazon Fire Stick yenye Alexa voice support unaleta kwa bei gani mimi sitaki yenye games nataka niwe online kwenye youtube news, movies. Nimekuja kwakovkwa recommendation nzuri za CHEIF MKWAWA. TV yangu TCL "55 ni 3D lakini sio smart tv.
Nasubiri jibu tafadhali
 
Amazon Fire Stick yenye Alexa voice support unaleta kwa bei gani mimi sitaki yenye games nataka niwe online kwenye youtube news, movies. N
upload_2018-4-8_8-41-1.png


Ghalama: TZS 123,084
Muda: Ndani ya wiki mbili
Malipo: Utaratibu nimekutumia PM
Wapi utapokea mzigo wako ?: Kwa DAR utaelekezwa uje uchukue Dar city center, Kwa mkoani utatumiwa kwa EMS ghalama ya EMS TZS 15,000

cc: Chief-Mkwawa (Nicheki pm)
Karibu
 
View attachment 737860

Ghalama: TZS 123,084
Muda: Ndani ya wiki mbili
Malipo: Utaratibu nimekutumia PM
Wapi utapokea mzigo wako ?: Kwa DAR utaelekezwa uje uchukue Dar city center, Kwa mkoani utatumiwa kwa EMS ghalama ya EMS TZS 15,000

cc: Chief-Mkwawa (Nicheki pm)
Karibu
Sawa nimeipata hii haina shaka bro najazia jazia pesa nitume TV yangu ni kubwa lazima niibadilishr asante kwa kujibu haraka
 
Karibu kiongozi.
Kupitia hii thread waweza kufanya manunuzi mahala popote, iwe ni toka Paris, Sydney, London, Berlin etl.
Na bidhaa husika ikakufikia mahala ulipo.
 
OK pia location ya kuchukua mzigo umesema dar city centre ni wapi hapo mi sitakuwepo nitamtuma dogo
 
OK pia location ya kuchukua mzigo umesema dar city centre ni wapi hapo mi sitakuwepo nitamtuma dogo
Mzigo ukifika utapewa taarifa zote ambazo utampatia atakayekuja kuchukua. Ahsante
 
Mkuu, Xiaomi Redmi 5Plus Ram 4GB 64GB Rom AliExpress kupitia kwako hadi inanifikia huku Mwanza jumla ya shilingi ngapi nitalipa?
 
Back
Top Bottom