Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu naomba niangalizie Electronic Microscope ya kupimia magonjwa ya binadamu.
 
Huawei mate 10 pro 32 or 128 gb inaweza kuwa bei gani mwalimu
Habari
- Hakuna toleo la 32GB, Bali kuna 64GB na 128GB
upload_2018-4-7_14-25-42.png

Bei
- 64GB ni TZS 2,198,943
- 128GB ni TZS 2,435,643

Muda: Wiki 3

KARIBU
 
  • Thanks
Reactions: Fdt
Mkuu PC nzuri ya HP pro book rangi ya silver. 15.6", ram 8,HDD 1000gb,core i7 . bei gani hebu nichekia mkuu. Ya tokea marekani ama uka
 
Back
Top Bottom