Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mkuu hio ni bei gani hadi kufika na pia ushauri wako wa kitaamu ni muhimu S60 DOOGEE Smartphones, Top
Smartphones - DOOGEEwww.doogee.cc › detail › mobile
 
Mwl.RCT salaam,
ninatafuta kamera ya usalama ambayo ninaweza kuweka sitting room kwangu bila watu kuishtukia ili niweze kujua yanayotendeka wakati sipo hii hasa ni kwa ajili ya usalama wa watoto ninapokuwa safarini.

ningependa kama ingekuwa inaweza kuwa accessed nikiwa mbali pia kama imejaa niweze kufuta mafaili bila kuwepo nyumbani.
asante
 
TZS 75,744

Picha: 8kkqU
upload_2018-4-7_4-31-49.png

Muda: Wiki Tatu (3)

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe

Karibu
 
Naweza kupata gharama ya hizi bidhaa mpaka kufika bongo? Nahitaji kuchagua mojawapo
Habari,
Ghalama kwa kila simu ni kama ifuatavyo
- Bei TZS 231,966
- Muda: Kuanzia wiki 4

- Nimechukua link ya kwanza
- Bei TZS 497,280
- Muda: Wiki Tatu

Nokia lumia 520
- Bei 98,230.5
- Muda: Ni zaidi ya wiki 4 (Fri. Apr. 27 and Fri. Jun. 1)

NB: Kwa kuzingatia delivery time na ubora wa simu ni vyema ukachukua XIAOMI
 
Mwl.RCT salaam,
ninatafuta kamera ya usalama ambayo ninaweza kuweka sitting room kwangu bila watu kuishtukia ili niweze kujua yanayotendeka wakati sipo hii hasa ni kwa ajili ya usalama wa watoto ninapokuwa safarini.

ningependa kama ingekuwa inaweza kuwa accessed nikiwa mbali pia kama imejaa niweze kufuta mafaili bila kuwepo nyumbani.
asante
Pitia hii link: https://amzn.to/2qdP6Ki soma maelezo ya hiyo item iwapo inakidhi mahitaji nijulishe tufanye utaratibu wa kuinunua.

Ghalama: TZS 381,087
Muda: Ndani ya wiki mbili
 
Mkuu hio ni bei gani hadi kufika na pia ushauri wako wa kitaamu ni muhimu S60 DOOGEE Smartphones, Top
Smartphones - DOOGEEwww.doogee.cc › detail › mobile
upload_2018-4-7_7-39-21.png

Bei: TZS 707,733
Muda: Wiki tatu

Karibu
 
Back
Top Bottom