Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Tunazidi kupanuka kuhusiana na manunuzi ya bidhaa mtandaoni, Hii inazidi kunijengea uwezo na ufahamu katika kuagiza & kununua bidhaa bora na kwa gharama nafuu kuliko zile za kubabaisha zinazopatikana Africa halafu kwa gharama kubwa halafu nyingi zao hazidumu. Ubarikiwe Mw1RCT
 
Habari yako ,Nipe shule kuhusu hii fire tv stick
 
Habari yako ,Nipe shule kuhusu hii fire tv stick
Naona nimekujibu pm hii kitu ni kwa watu wanaopenda tech za kisasa pia acc amazon na pia watu wenye bando za kuunga unga hazifai, yaani ununue tv 55" halafu bando la kudunduliza. Amazon wako juu. We fikiria unaacha rimot pembeni unaongea na screen na inafanyakazi !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…