Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Ipi ni latest mkuu
Sasa ni juu yako kama unapenda zilizonyooka kama yangu au curved. Ili uelewe yangu resolution ni HD 1080p.
Latest sasa hivi ziko kwenye UHD (4K)
UHD picha ni sharp mara 4 ya HD

Kwa hiyo kama yangu ni kweli ina muonekano mzuri na bado ni nzuri ila kwa kuangalia mbele chukua vipimo vya UHD.

Sasa model ndio ziko nyingi samsung, tcl,n k itabidi uongee na watu wengine kupata uzoefu.
Na hizo za kisasa internet ndio mle mle.
 
UHD roughly kama sh ngap mkuu
 
UHD roughly kama sh ngap mkuu
Mkuu UHD ni picture quality, bei itategemea ukubwa wa tv, 24,32, 50,55

Kila mtu na mtizamo wake ila kwa mimi tv ya angalau 50" ni kifaa ambacho kitamfanya kila mtu atulie nyumbani na hasa ikiunganishwa na woofer.

Bei utapata humu humu JF wafanyabiashara wapo. Ila tu useme unataia smart tv,ukubwa fulani Res UHD
 
55 mimi itanifaa mkuu maana pia napenda gaming na raha ya gaming uwe na screen kubwa
 
Habari kiongozi !, Sijakuelewa hapa.

Mkuu habari...
Kwenye hizo address zako za email, telegram, sijui nini.. Hivi ile ni namba 1 au ni herufi l.
Nahofia username yako ni mwl.rct lakin nashangaa umeandika mw1rct.
Sijui umekosea au ni style ya uandishi???
 
Mzee baba hadi avatar tunaibiana kweli!!!!![emoji31][emoji23][emoji31][emoji23][emoji23][emoji31][emoji23][emoji23]
 
MSAADA
Kama kuna mtu ashaagiza simu aina ya iPhone aniambie site ambayo bei zake ni rafiki
Au Mwl.RCT waweza kunisaidia
 
PICHANI NI WINDOWS TAB YA MTEJA TOKA AMAZON.
upload_2018-5-19_8-7-57.png

upload_2018-5-19_8-9-1.png

Je unahitaji TAB, LAPTOP au chochote toka AMAZON, basi fuata hizi taratibu
upload_2018-5-19_8-2-37.png

  • Mawasiliano: Whatsapp: 0784 496 856
 
Back
Top Bottom