jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Unaposema bundle ya kutosha una maanisha hizi unlimited za mwezi za mitandao ya sim au?Ndiyo kila channel uitakayo ila mpaka huwe na bundle ya kutosha.
Unaposema bundle ya kutosha una maanisha hizi unlimited za mwezi za mitandao ya sim au?
Ipi ni latest mkuuMkuu sasa hivi usinunue kama hii imepitwa na wakati ndio maana natafuta fire stick, nenda na wakati.
Sasa ni juu yako kama unapenda zilizonyooka kama yangu au curved. Ili uelewe yangu resolution ni HD 1080p.Ipi ni latest mkuu
UHD roughly kama sh ngap mkuuSasa ni juu yako kama unapenda zilizonyooka kama yangu au curved. Ili uelewe yangu resolution ni HD 1080p.
Latest sasa hivi ziko kwenye UHD (4K)
UHD picha ni sharp mara 4 ya HD
Kwa hiyo kama yangu ni kweli ina muonekano mzuri na bado ni nzuri ila kwa kuangalia mbele chukua vipimo vya UHD.
Sasa model ndio ziko nyingi samsung, tcl,n k itabidi uongee na watu wengine kupata uzoefu.
Na hizo za kisasa internet ndio mle mle.
Mkuu UHD ni picture quality, bei itategemea ukubwa wa tv, 24,32, 50,55UHD roughly kama sh ngap mkuu
55 mimi itanifaa mkuu maana pia napenda gaming na raha ya gaming uwe na screen kubwaMkuu UHD ni picture quality, bei itategemea ukubwa wa tv, 24,32, 50,55
Kila mtu na mtizamo wake ila kwa mimi tv ya angalau 50" ni kifaa ambacho kitamfanya kila mtu atulie nyumbani na hasa ikiunganishwa na woofer.
Bei utapata humu humu JF wafanyabiashara wapo. Ila tu useme unataia smart tv,ukubwa fulani Res UHD
Hallo ni kweli 55 murwa kabisa55 mimi itanifaa mkuu maana pia napenda gaming na raha ya gaming uwe na screen kubwa
Inaweza4ikaenda kma ngapi mkuuHallo ni kweli 55 murwa kabisa
Acha kukurupuka..ushamba tu unakusumbuaTutatapeliwa kua makini
Mkuu Habari za siku nyingi, watu hawamini kama mwl anatoa huduma hii kwa uaminifu mkubwaAcha kukurupuka..ushamba tu unakusumbua
Watu gani hao?Mkuu Habari za siku nyingi, watu hawamini kama mwl anatoa huduma hii kwa uaminifu mkubwa
Habari kiongozi !, Sijakuelewa hapa.
Mzee baba hadi avatar tunaibiana kweli!!!!![emoji31][emoji23][emoji31][emoji23][emoji23][emoji31][emoji23][emoji23]Mkuu habari...
Kwenye hizo address zako za email, telegram, sijui nini.. Hivi ile ni namba 1 au ni herufi l.
Nahofia username yako ni mwl.rct lakin nashangaa umeandika mw1rct.
Sijui umekosea au ni style ya uandishi???
Ni namba, 1.Hivi ile ni namba 1 au ni herufi l.
SahihiNahofia username yako ni mwl.rct lakin nashangaa umeandika mw1rct.
Sijakosea, Ni uamuzi tu.Sijui umekosea au ni style ya uandishi???