Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

[AliExpress Mobile - Global Online Shopping for Apparel, Phones, Computers, Electronics, Fashion and more] is good,have a look at it! AliExpress Mobile - Global Online Shopping for Apparel, Phones, Computers, Electronics, Fashion and more
MKUU SH. NGAPI HAPOO
USHAURI
- Tafuta simu nyingine au
- Simu hiyo hiyo ila kwa seller tofauti

Sababu
- Item toka hii simu itaangukia kwenye utaratbu wa SOKO KUNDI B - hivyo ghalama yote jumla itakuwa kubwa zaidi.

KARIBU
upload_2017-5-7_7-8-43.png
 
Sawa nishasubscribe..nitafanya hivo siku sio nyingi..nashukuru

Mkuu hizo earphones matumizi yake ni kama hizi earphones za kawaida tu au ina matumizi zaidi ya hizi nyingine za kawaida...?

Naona bei yake imesmama kweli kweli kiongozi. Unatumia kwa matumizi ya studio au niaje hebu naomba unifungue kidogo manake, Dah.

Hatari sana mkuu. Lol.
 
Unazo Dolce And Gabbana "The One" na "Light Blue" ?
 
Mkuu hizo earphones matumizi yake ni kama hizi earphones za kawaida tu au ina matumizi zaidi ya hizi nyingine za kawaida...?

Naona bei yake imesmama kweli kweli kiongozi. Unatumia kwa matumizi ya studio au niaje hebu naomba unifungue kidogo manake, Dah.

Hatari sana mkuu. Lol.
Kwa ajili ya studio mkuu (audio production)..pia ni nzuri kwa mtu unayependa kusikiliza muziki..usizifananishe na hizi nyingine,teknologia iliyotumika kuzitengeneza ni kubwa mno..
 
mkuu nnahitaji simu aina ya oops..vip bei gan kwa china mpka inifikie hapa tz..napatikana dodoma tanzania...
 
Back
Top Bottom