Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Order

Nahitaji hiyo bidhaa mpaka nachukua mkononi itanigharimu kiasi gani. Mwl.RCT
TZS 588,726.45

Hii ni ghalam ya kufikisha mzigo tanzania

Iwapo kutakuwa na Kodi/ VAT - mamlaka husika itatujulisha na uwe tayari kulipia ghalama itakayotolewa.
 
Thanks
Hii hadi inanifikia,itacost kiasi gani
Amazon product ASIN B00THOL6J4
upload_2017-9-10_9-43-37.png
upload_2017-9-10_9-48-43.png

Manunuzi 235 USD

Kusafirosha 109.74 USD

Ghalama ya kusafirisha imetokana na uzito wa mzigo ( Shipping Weight ) 8.5lb
upload_2017-9-10_9-48-43.png

Jumla: 344.74 USD ongeza my charges 15 USD inakuwa 359.74USD sawa na TZS 847,187.7
 
Back
Top Bottom