Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

For Lenovo S90 S90-T S90-U S90-A LCD Display Touch Screen Digitizer & Frame

$63.99
Ticha nipe bei ya iyo bizaa inapatikana e bay mpaka dsm ni sh ngapi, nimeshindwa kuweka link yake


sent using Samsung Galaxy note8
 
Manunuzi: $344.99
Kusafiisha: 782.34 USD - Ghalama ya kusafirisha inatokana na uzito wa mzigo

Jumla: $1,127.33 sawa na TZS 2,654,862.15
upload_2017-9-12_20-33-50.png
 
For Lenovo S90 S90-T S90-U S90-A LCD Display Touch Screen Digitizer & Frame

$63.99
Ticha nipe bei ya iyo bizaa inapatikana e bay mpaka dsm ni sh ngapi, nimeshindwa kuweka link yake


sent using Samsung Galaxy note8
Nipatie link mkuu
 
Tafuta kiatu husika hapa ALIEXPRESS. COM
Kisha nipatie link yake
Mkuu apo kwne gharama za shipping kutokana na uzito wa bidhaa naomba Maelezo kdgo. Kwamfano Aliexpress naonaga na shipping cost manake ntalipa zote mbili shipping cost na gharam kutokana na uzito?? Thanks in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalim RCT
Nimefatilia humu kenye hii thread,you doing great job 🙂.Sory nashida na graphics card ya pc,ningependa uniangalizie a good descent card kama hii GTX 1050ti. Iwe ya bei rahic around 120-140$,xo nliomba unichekie hii gpu online unipe total cost had naipata mkononi.
 
Iwe ya bei rahic around 120-140$,xo nliomba unichekie hii gpu online unipe total cost had naipata mkononi.
upload_2017-9-13_9-6-44.png


Haijapatikana kwa hiki kiasi 120 - 140usd hadi kukufikia

Bali inapatikana kwa 198.93usd [sawa na TZS 468,480.15] hadi kufikisha hapa Dar
 

Attachments

  • upload_2017-9-13_9-6-25.png
    upload_2017-9-13_9-6-25.png
    81.6 KB · Views: 90
Back
Top Bottom